Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P YangaURA wanapiga ya mwisho....Anapiga kipa Bryan Bwete
Yanga njeeeeeee
Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa na bado!
Mbona huendelei kutupa burudani?Wanaongoza bao moja URA o tusubiri tuone