Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1578945894015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km sio ugeni na uchanga wa wachezaji wa Mtibwa Simba ilikua ipigwe 3:0 kipindi cha kwanza tu! Hawa madogo walitumia Counter attack na kuwaachia Simba mpira wacheze . Mbinu yao ilifaulu na kumuacha mdomo wazi Babu yao Kagere asijue cha kufanya. Big up sn wajukuu wa Kagere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom