Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Najua unakoelekea, hili goli halijatokana na makosa ya Kakolanya, bali kosa la mabeki. Manula aendelee tu kusugua benchi.
Inawezekana mapenzi ni upofu lakini na chuki ni upofu pia..

Kwa hiyo siku ile Mzamiru anapoteza mpira halafu anamsindikiza tu Mapinduzi Balama halikuwa kosa lake ila Manula?! Tshabalala kushindwa kuondoa mpira ulikuja kwenye umiliki wake halikuwa kosa lake ila Manula?!

"chuki niuwe nipondeponde kama nyanya mpaka nikose cha kufanya..."
 
Hongereni Mtibwa Sugar Football Club kwa Ushindi na kuwa Mabingwa wapya wa Mapinduzi Cup 2020. Hongereni kwa Kumla Simba Kiboga!
 
Hivi ni Yanga ama Mtibwa ndio amechukua hiki kikombe?

Mbona kelele za vyura zimekua nyingi sana?
 
Back
Top Bottom