changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Liverpool waliofungwa 5 na aston villa walipanga kikosi cha under 23, tofauti na simba ambao wamepanga kikosi A, mbaya zaidi mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi amejiuzulu kutokana na kupoteza fainali. Maanake ni kwamba uongozi wa simba walitaka kombe kwa udi na uvumba lakini mambo yamewaendea ovyoLiverpool FC ilifungwa 5 - 0 na Aston Villa katika kombe la Carabao (Wengine mmezoea Carling Cup).
Lakini Liverpool hiyo hiyo imeshinda michezo 20 na kutoa sare 1 katika michezo 21 ya ligi (EPL).
Hivyo basi, vipaumbele ndio tatizo. Simba ametimiza wajibu kushiriki kwenye hako kakombe na sio kwamba ilikua ndio kipaumbele chake. Simba kipaumbele chake ni kuwa bingwa wa Afrika na Tanzania sio kushinda kakombe kanakochezwa week moja.
Sent using Jamii Forums mobile app