Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Huyu kocha anapima upepo wa Wanasimba, ngoja waaanze kucheza na majukwaa tupu ndio ataelewa kuwa hatupendagi ujinga. Rashid Juma, Ndemla na Shamte ndio wa kucheza fainali kweli😭😭😭
 
Nilishangaa
 
Simba ubingwa ni lazima mtibwa hawana mikono ya kubebea kombe hawa
 
Back
Top Bottom