Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Wakuu hii Simba itaniua kwa B.P, hivi hawajui kuwa tunaumia kiasi gani?Hii nchi ingekuwa Colombia ningeshaua wachezaji kadhaa wa klabu yangu ya Simba.

Michezaji yetu inaonekana inacheza kama haina malengo vile, hii ni tofauti sana na Mtibwa. Marking mbovu mbovu tu, kocha mzungu naye macho kama ana utitiri.

Iko day sisi mashabiki wa Simba tutawafungia kazi hawa wachezaji.
 
Acha mihemko tulia dawa iwaingie vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom