Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Wapuuzi sana,wanafukuza kocha wanaleta mtu wa ajabu
Kama ninamwona Uchebe anavyowacheka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ninamwona Uchebe anavyowacheka.
Shida ya kumsikiliza Haji manara. Uchebe alimwambia Mo aache kuwasiliza watu wasiokuwa na shule. Kama Haji.Wapuuzi sana,wanafukuza kocha wanaleta mtu wa ajabu
Hii mechi tunashinda, tatizo tu wachezaji wetu wanaboa na kutupa pressure pasipo ulazima.
Najua unakoelekea, hili goli halijatokana na makosa ya Kakolanya, bali kosa la mabeki. Manula aendelee tu kusugua benchi.Hivi golini yupo Manula au?!
Dakika ya 80 bado kamoja kameganda tu
Mpira ni dakika ya ngapi sasaNaona kocha anavyohangaika kufanya sub kwa usenge alioufanya first 11
Go Mtibwa, go go.......wanyoosheni hao ili kesho kazi zifanyike maofisiniDakika ya 80 bado kamoja kameganda tu