Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ushaiza mkuuDakika no ya ngapi wakuuu, maana hawa Mikia hawakawi magoli ya mkono kama ya Bwana Nape
Hakuna tuwezalo wananchi wa nchi hii. Ni kufeli kila kitu. Maneno maneno vitendo sifuri. Shenz kabisa! Kazi kuilaumu tu serikali. Sasa haya mavimavi ya viongozi wa Simba utasema ni serikali ya CCM? Hatuna tuwezalo manina zetu. Mi siku hizi najionea sawa tu lolote liwe la kishenzi au jema lifanyalwo na serikali. Maana hata sekta binafsi ni mavimavi tu.Viongozi wa simba ni wasenge
Dah
Kimyaa
Simba tangu wapoteze hirizi yao hali ni mbaya sanaNgapi ngapi?