Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Mo yuko sahihi
Tumetolewa Caf
Tumeshindwa kumfunga yanga
Tumeshindwa Kuchukua kombe la mapinduzi
Bodi ikashauri kumtimua kocha na yeye akakubali lakini amekuja kugundua kuwa ilikuwa VERY BIG MISTAKE
so maamuzi yake ni sabihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchebe alimuonya. Board imejaa waongo na vilaza.
 
"Ni aibu Simba kutoshinda, baada ya kulipa mishahara inayokaribia Bilioni 4 kwa mwaka, najiuzulu kama mwenyekiti wa bodi na kubakia muwekezaji, Simba Nguvu Moja, nitatia nguvu kwenye kuendeleza miundombinu na soka la vijana">>> MODewji baada ya Simba kufungwa #MillardAyoSPORTS millardayo on Twitter
 
Back
Top Bottom