Niko safarini mkuu...tupe live updates...Mechi ni saa 20:15
Muda huu ishaanza
Ghazwat
Greatest Of All Time
Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?
View attachment 2468160
Nadhani ni sababu ya benchi.Hana uwiano mzuri now
Yaani wachezaji wote hawa ni mizigo mitupu Simba inabidi tufanye maamuzi magumu kusafisha timuSasa nimejua kwanini hawa mabwege hawayapangi kikosi cha kwanza