Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Mechi ni saa 20:15

Muda huu ishaanza

Ghazwat
Greatest Of All Time
Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?

simbasctanzania-20230103-0001.jpg
 
7'

Okrah anapiga shuti linaenda nje ya lango
 
Ngoja nimtizame vizuri huyu okwa, muda mchache niliowahi kumuona nilikiri ni mchezaji mzuri, ila nashangaa akawa anakaa benchi.

Sasa leo nijue yamo ama hakuna kitu.
Hana uwiano mzuri now
 
Okrah ametengeneza nafasi imekosa mmaliziaji
 
Mgunda kautuliza mpira kwenye deep freezer uliokuwa unatoka nje
 
Back
Top Bottom