Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Nimemjibu kwa uzuri zaidi asije sema kikosi kilikua na kina Chama na kina Boco au kina anibayotiki...nimemwambie kile kilikua kikosi kilichojaa watu wa Sub πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Awe antiboyotiki au la, mlifungwa? and swali lake
 
Nimemjibu kwa uzuri zaidi asije sema kikosi kilikua na kina Chama na kina Boco au kina anibayotiki...nimemwambie kile kilikua kikosi kilichojaa watu wa Sub πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Happy new year dear, mwaka uwe wa furaha na amani kwako....Eve loves you
 
Kwani nimetaka kuelewa au nimeuliza kama mlifungwa make nilikua sina uhakika 🀣🀣🀣🀣
Shemela, hakuna cha kikosi B wala nini..!! Ni kwamba Mlandege jana kamla Simba kimoko usiku kabla ya saa 4. Mlandege kawa Mlandogo..!!!

Angecheza Kalpana , GENTAMYCINE , Scars etc ndo ningesema ni kikosi B
 
Kumbe na nyie mnamkubali Chama mwamba wa Lusaka..na akiungana pale na Antibayotike maji mtaita mmaaa
Mimi sijasema namkubali. Ila ninachofahamu kwenye timu yenu, asipokuwepo Chama; huwa mnastruggle kupata matokeo.

Na ushahidi uko wazi.
 
Mimi sijasema namkubali. Ila ninachofahamu kwenye timu yenu, asipokuwepo Chama; huwa mnastruggle kupata matokeo.

Na ushahidi uko wazi.
Alipouzwa ilikuwaje?? Ule wakati timu haikuwahi kupata matokeo? Watu wamecheza club bingwa na shirikisho bila chama unataka kusemaje labda? Sema tuu uwepo wake ni muhimu ila sio kwamba asipokuwepo timu itashindwa..
 
Back
Top Bottom