Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mkuu umeanza vizuri ila umeharibu mwishoni
 
Haya sasa muda wa kugomea tena bidhaa za bakhressa umewadia mtapiga kasia au mtapanda botinzake ndugu zangu utopolo?
Walikujaje?

Au walizamia?
 
Ukifananisha na zenu unaonaje?
Sisi tangu mwanzo hatukuonesha nia ya kushiriki haya mashindano

Hata hivyo wale madogo ulikuwa ni ubishi wao tu kushinda mechi ya mwisho maana maelekezo tuliyowapa hayakuwa yale

Sisi tulikuwa na safari yetu huko Burj Khalifa ila tukakosa excuse ya kuondoka maana tungeonekana majeuri

Ndo tukaamua pale mbele akae Kibu na Kyombo tukijua dhahiri watachoenda kufanya
 
Ulifanya vizuri kuwasaidia
 
Singida anafanikiwa kusonga mbele kwa advantage ya goli 2 alizozipata kwenye jumla ya michezo aliyocheza dhidi ya mpinzani wake Yanga[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…