Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars
Jezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaa

Bado haitoshi kuwatofautisha?
 
Back
Top Bottom