Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli kabisa,ila kwa hiyo free kick sijaona Kosa la refaSheria za mpira ni ngumu
Kipa kazingua 😀Yanga imefanya counter attack hapa ya hatari lakini shambulizi limezimwa
Nadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hichoHalafu prematch meeting ilikuwaje wakaruhusu kipa wa Yanga kuvaa jezi sawa na Singida
Inaweza kumvuruga refa asipokuwa makiniNadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hicho
Distance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollideInaweza kumvuruga refa asipokuwa makini
Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big starsDistance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollide
Kosa ni la refa maana pale Hakuna sababu ya indirect kick wakati kosa lililotendwa linaadhibiwa Kwa direct kick.Okay
Jezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaaJezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars