mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Sare ingekuwa inambeba Yanga zingeongezwa dk 2Dakika 8 zimeongezwa!!
Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sare ingekuwa inambeba Yanga zingeongezwa dk 2Dakika 8 zimeongezwa!!
Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde
🙁🙁Mwigulu katutelekeza Utopolo
Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuuKwa msimu huu tuwaachie Azam tu
Wa wanche.Yaani avumilie kufungiwa ndani miezi minne halafu awaachie tena? Ndo kwanza amekuja
Yeah nikweli kabisaYah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu
Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu
Naona watani wawili mnafarijianaYeah nikweli kabisa
Kabisaa hahahhaNaona watani wawili mnafarijiana
Ndiyo maana halisi ya utaniNaona watani wawili mnafarijiana
Yah utani sio ugomvi wala matusi..Ndiyo maana halisi ya utani
Yeah 😂Yah utani sio ugomvi wala matusi..
Sema ni maneno fulani tuu ya kukera sana hahaha
Wamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar 😄😄😄😄Bantu Lady umelala??? Njoo tupange mipango ya kwenda kuwapokea kaka zako
Wale walitumwa wakapashe misuli it was just mazoezi.... 😆 na kutoa gunduWamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar 😄😄😄😄