Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Tukutane Azam Marine feli
 
Wenzenu wapo Dubai

Mkivuka maji mnapakwenda?

Au mtavuka maji mengine tena kuelekea Avic Town kumrudisha Kambole ghetto kwake?

Sema safari hii muwe mnamuachia ka space kidogo, yale maswala ya kupigwa marufuku kutoka nje kuhofia kunaswa na Camera za majournalist sio mchongo
 
Ndo maana miguu yake imekufa ganzi anashindwa kucheza vizuri
 
Kamboleeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom