Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Mapinduzi Cup: Singida BS Vs Yanga Sc

Walikuwa wanasumbua tu mahakama hukumu yao ilikuwa leo au siku na azam,hii michuano miaka miwili ijayo itakuwa ovyo sana
 
Ndo maana miguu yake imekufa ganzi anashindwa kucheza vizuri
Miguu imekufa ganzi kutokana na kukaa sehemu moja muda mrefu

Hata kama ni wewe ufungiwe kwemye nyumba ambayo umepewa route mbili

Ya kwenda msalani na kwenda sebuleni kwa ajili ya msosi unafikiri utaweza kuhimili mateso hayo?
 
Afadhali Utopolo kasumbua mahakama lakini katolewa.Kufa ni kufa tu.Mura.
 
WAKATI SIMBA INAPANDA NDEGE KWENDA DUBAI YANGA WANAPANDA BOTI KWENDA DAR [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kilicho nifurahisha zaidi ni kuona Yanga imewaacha wachezaji wake muhimu kwa ajili ya mashindano muhimu ili wasipate injury na kuwapa nafasi wachezaji wale ambao sio tegemezi

Lakini Kisinda eti hakuwepo

Maanake huyu ni mchezaji tegemezi kwenye mechi muhimu

Aah hii nchi ina vituko sana
 
Back
Top Bottom