Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
-
- #21
Kuna watu wanatetea eti siyo lazima,kwa dunia ya sasa mwandishi hiyo lugha siyo muhimu tu bali ni lazimaKwa mwandishi wa habari lazima ajue lugha vinginevyo akafanye kazi nyingine
Unapishana na uelekeo wa dunia mkuuAcheni Ulimbukeni nyie pimbi. Kwani mmeambiwa Azam anarusha Matangazo kwa Kiingereza???
Nendeni CNN ya Marekani mtutajie Watangazaji wanaojua Kiswahili basi maaana naona mishipa ya Shingo imewatoka sana.
Hahaa....Basi thread kama hii anakuja mtu anaandika "mitano tenaaa"!!
Antonio Valencia wa Manchester United amekaa miaka 10 na mpaka anaondoka hakuwahi kujua kiingerezaKwa nini tusiwe kama Uingereza?
Kocha au mchezaji ukisajiliwa Tanzania lazima ujifunze kiswahili.
England hakuna kocha au mchezaji anayehojiwa kwa lugha yake, lugha ni moja tu, English.
Upimbi siachi, Azam wanarusha matangazo ya mpira kwa lugha ya kiswahili na kiingereza baadhi ya mechi kama ulikua haujui.Acheni Ulimbukeni nyie pimbi. Kwani mmeambiwa Azam anarusha Matangazo kwa Kiingereza???
Nendeni CNN ya Marekani mtutajie Watangazaji wanaojua Kiswahili basi maaana naona mishipa ya Shingo imewatoka sana.
Kilikuja na melikebu hicho cha malkia.Kwa anayefuatilia michuano ya Mapinduzi Zanzibar atakuwa shahidi wa hili,post match interview kwa makocha,hasa mfano wa yule wa Azam,George Lwandamina anayetumia lugha ya malkia (English),waandishi wanashindwa kumuuliza maswali na hata wakimuuliza unaona kinyaa kabisa ukizingatia inakuwa Live.
Najiuliza mtu kama mwandishi wa habari unashindwa hata kuangalia wanachofanya wenzio kwenye vituo vikubwa vinavyorusha mchezo wa mpira? Nikweli hiyo lugha si yetu ila kwanini hata usijiandae kwa maswali yako mawili au matatu......yaani wanamuuliza maswali Lwandamina mpaka anacheka kwasababu hayaeleweki.Kuna vijana wengi wenye uwezo mzuri sana mtaani wapo,hasa nyie Azam media fanyeni recruitment vizuri,mnatia aibu sana inapotokea mahojiano na asiye mswahili.
Na nyie waandishe acheni uvivu,jifundisheni basi......saizi dunia ni kama kijiji ingieni You tube huko mjifunze.
Unaweza kukuta hata huyo anayewasimamia kidhungu kinampiga chenga...Sijui mtu anayewasimamia huwa haangalii hayo mapungufu
Inaondoa ufanisi sababu ana shindwa kuhoji alicho dhamiliaKutojua kingereza sio kosa na haliondoshi ubora wa mtu wa kazi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi thread kama hii anakuja mtu anaandika "mitano tenaaa"!!