Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Papa ndio top in charge manyota akisema Dunia inasikia,papaa ni nani kwanza sadaka wanazotoa catholic ndo zinazompa kiburi huyoo papa.
Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa ndio top in charge manyota akisema Dunia inasikia,papaa ni nani kwanza sadaka wanazotoa catholic ndo zinazompa kiburi huyoo papa.
Yule Askofu wa Chadema naye anataka kumbariki Ole Sabaya, mwenyewe anaitaga mibaraka.Hivi ni kwa nini mmekazania kupotosha maana?
Sio maana hata tu ujumbe wenyewe mnaupotosha.
NI wapi? Ni fundisho gani linasema watu waliohukumiwa kibinadamu kuwa wana 'dhambi' fulani basi watengwe na kanisa?
Sasa wakitengwa na wakataka kutubu, watatubia wapi?
Ujumbe umesema, wasitengwe na baraka (za magari, mashamba kila kitu) na huduma za kikanisa halafu mmekazana kuweka 'version' yenu ya ujumbe sijui kwa minajili gani. Ujumbe umesisitiza baraka zisitolewe kinamna inayoweza kufananishwa na ndoa tena hata kuhusianishwa na kubariki ndoa lakini bado mmekaza fuvu whyyy.
Amaa kweli watu hujenga maovu vichwani mwao kisha hutoka na kuyatafuta mtaani, wakiyapata hufurahia na hata wasipoyapata basi wao HUYAUMBA!!!
Kwa hio unataka kusema Dola nyingine ya Rumi inaenda kuanguka kwa mara nyingine Ila hivi unawajua vizuri warumi wewe?Sikia wewe! Wale ndio walioeneza ukatoliki duniani, ni taasisi yao ndio maana walituma wamisionari wao kuja afrika/tanganyika/tanzania kujenga makanisa yao. Haya majengo makubwa meni walijenga wao. Hata hivyo siku hizi hakuna wamisionari wa ulaya, ni waafrika tu ndio wanaoendesha makanisa, hivyo basi ni ruksa kujitenga kama wanaona wana code key zote za kuendesha ukatoliki tanzania bila vatican. Wenzao wa kkkt wanajiendeshea kanisa lao bila heardquarter kutoka ujerumani lilikoanzishwa kanisa lao. Kuna makanisa madogodogo yameanzishwa hapahapa tanzania na yako organized well na watanzania wenyewe. Ila kama watapata wafadhili/marafiki huko ulaya waangalie hao marafiki/wafadhili wanataka nini isije ikawa ni kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi. Kanisa katoliki tanzania inawezekana. Hawa hawa wakarithmatiki wanatosha kuwa ndiyo imani yao mpya
Vatican katika historia imekua mara nyingi chini ya mikono ya watu waovu 'freemason' au 'mafioso'. Uchina kanisa katoliki liliamua kua huru ya utawala wa vatican kwa miaka mingi hadi leo. Makanisa ya kikatoloki afrika ingefaa kuachana na vatican kwa sasa kwani ubeberu na ubepari ni chanda na pete na vatican. Hivi leo nchi za magharibi wanafanya kila hila kueneza ushoga na ndoa za jinsia moja duniani. Wana lao katika hili na vatican huenda ni mshirika wao.Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic.
Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka mashoga kubalikiwa ndani ya kanisa takatifu la Yesu kristo.
Kanisani wanaingia wazinzi, waasherati, wachawi, walevi, wezi, majambazi, waongo, na kila aina ya watenda maovu. Wanapoingia kanisani kuomba TOBA huwa ni jambo la siri baina yake na padri, wakisha pata toba wanarudi kwenye mstari kimya kimya pasipo kuwa exposed kwa waumini wengine.
Hakuna uspesho wowote walionao mashoga kiasi kwamba kanisa lishugulike nao kuwabaliki badala ya kuingia kanisani kama watu wanaopinga ushoga na watu wanaotaka msaada ili waache tabia yao hiyo chafu ya ushoga.
Sasa kanisa kumbukeni mambo huanza mdogo mdogo namna hii ya kuwabaliki mashoga na mwisho kabisa ni kuanza kuwafungisha ndoa wanaume wawili ndani ya kanisa takatifu la kristo.
Waumini hatutakubaliana na jambo hilo, ni bora nitafute kanisa lingine la kikristo nikamuabudu Yesu huko kuliko kufungamana na ninyi kwa kuruhusu dhambi hii ya ushoga kanisani.
Viongozi wa dini nadhani mnakumbukumbi namna dhambi ya ushoga ilivyo uangamiza miji ya Sodoma na Gomola. Mungu ni yule yule aliye uangamiza miji hiyo kwa kuchukizwa na agenda ya mashoga kuondoa mpango wa Mungu duniani wa mwanaume na mwanamke kuungana pamoja katika ndoa takatifu ili wawe kiwanda cha kuujaza ulimwengu.
Sasa ni muda kwa baraza la maaskofu Tanzania (TEC) kumwandikia barua/ waraka Papa kupingana na hoja yake ya kubaliki mashoga kanisani. Kama ambavyo Tec mlithubutu kuiandikia serikali waraka kupinga uwekezaji wa kimagumashi wa DP World nadhani pia ni muda sahihi kufanya jambo hilo hilo kwa kupinga wazi wazi uamuzi wa papa ili sisi waumini tusiwaone ninyi ni manafiki ambayo bwana Yesu aliwataadhalisha kwenye:
"Mathayo 23:15
[15]Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe."
Mkashamwandikia hiyo barua ya kupinga hoja yake mmwambie hasipokubaliana nanyi ni bora kujitenga nae kuanzisha kanisa la Kristo litakalojulikana kama Tanzanian Catholic litakolodumisha ibada sahihi za bwana wetu Yesu kristo.
Baraza la maaskofu mkishindwa kufanya hivyo kubalini matokeo ya waumini wenu (mimi miongoni mwao) kuwakimbia na kumtafuta Yesu katika madhehebu mengine ya kikristo. Uzuri ni kwamba bwana wetu Yesu kristo hana mipaka kwamba anapatikana tu katika kanisa la RC popote pale unaweza kumuomba na akajibu.
Tumsifu Yesu kristo....
ndugu yangu katika masuala la imani usije kumwamini mwanadamu mwenzako, mwanadamu atabakia mwanadamu tu whatever the case.Si mnasemaga papa anachaguliwa na Mungu. Ule moshi ukifuka utakayempata basi Mungu kamchagua.
Kumbe hili jambo la kuwa nje ya vatikani inawezekana!Vatican katika historia imekua mara nyingi chini ya mikono ya watu waovu 'freemason' au 'mafioso'. Uchina kanisa katoliki liliamua kua huru ya utawala wa vatican kwa miaka mingi hadi leo. Makanisa ya kikatoloki afrika ingefaa kuachana na vatican kwa sasa kwani ubeberu na ubepari ni chanda na pete na vatican. Hivi leo nchi za magharibi wanafanya kila hila kueneza ushoga na ndoa za jinsia moja duniani. Wana lao katika hili na vatican huenda ni mshirika wao.
Upo sahihi roman catholic ni tasisi yenye nguvu dunian na inauwezo wa kutengeneza matukio makubwa duniani ina control dunia kwa manufaa yao binafsi, waafrika tuendelee kuamka tuendelee kutumia akiri kuliko hisia, vitu vingi tulivo ambiwa/kufundishwa si vya kweliVatican katika historia imekua mara nyingi chini ya mikono ya watu waovu 'freemason' au 'mafioso'. Uchina kanisa katoliki liliamua kua huru ya utawala wa vatican kwa miaka mingi hadi leo. Makanisa ya kikatoloki afrika ingefaa kuachana na vatican kwa sasa kwani ubeberu na ubepari ni chanda na pete na vatican. Hivi leo nchi za magharibi wanafanya kila hila kueneza ushoga na ndoa za jinsia moja duniani. Wana lao katika hili na vatican huenda ni mshirika wao.
Waafrika siku tukijitenga na uongo wa wazungu tutaanza kuona mambo katika uhalisia wake.Upo sahihi roman catholic ni tasisi yenye nguvu dunian na inauwezo wa kutengeneza matukio makubwa duniani ina control dunia kwa manufaa yao binafsi, waafrika tuendelee kuamka tuendelee kutumia akiri kuliko hisia, vitu vingi tulivo ambiwa/kufundishwa si vya kweli
Ukristo na Ushoga vinashabihiana, dawa ni kuwa muislam tu.
Uislam ndio dini inayopinga ushoga winja wala.
Ukithibitika wewe ni shoga, huruhusiwi hata kuingia msikitini achilia mbali kubalikiwa.
Ukitaka usiolewe na mwanamme mwenzio ingia kwenye uislam tu, sio kuhama dhehebu la kikristo.
Ulishawahi kumsikia kiongozi yeyote wa waislam akijadili kuhusu hao mashoga kwenda msikitini kubarikiwa hata kama ni wengi?Zanzibar na Pwani palipo na misikiti na waumini wengi wa kiislamu mbona ndiko kunaongoza kuwa na mashoga wengi?
Una uhakika unachokinena?Ukristo na Ushoga vinashabihiana, dawa ni kuwa muislam tu.
Uislam ndio dini inayopinga ushoga winja wala.
Ukithibitika wewe ni shoga, huruhusiwi hata kuingia msikitini achilia mbali kubalikiwa.
Ukitaka usiolewe na mwanamme mwenzio ingia kwenye uislam tu, sio kuhama dhehebu la kikristo.
Tatizo ni wanafiki.Ulishawahi kumsikia kiongozi yeyote wa waislam akijadili kuhusu hao mashoga kwenda msikitini kubarikiwa hata kama ni wengi?
Ikiwa mnasali na majini,Ukristo na Ushoga vinashabihiana, dawa ni kuwa muislam tu.
Uislam ndio dini inayopinga ushoga winja wala.
Ukithibitika wewe ni shoga, huruhusiwi hata kuingia msikitini achilia mbali kubalikiwa.
Ukitaka usiolewe na mwanamme mwenzio ingia kwenye uislam tu, sio kuhama dhehebu la kikristo.
Yule askari aliyekutana na hatia ya ushoga kule Zanzibar ni wa Dini gani vile?Ukristo na Ushoga vinashabihiana, dawa ni kuwa muislam tu.
Uislam ndio dini inayopinga ushoga winja wala.
Ukithibitika wewe ni shoga, huruhusiwi hata kuingia msikitini achilia mbali kubalikiwa.
Ukitaka usiolewe na mwanamme mwenzio ingia kwenye uislam tu, sio kuhama dhehebu la kikristo.
Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic.
Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka mashoga kubalikiwa ndani ya kanisa takatifu la Yesu kristo.
Kanisani wanaingia wazinzi, waasherati, wachawi, walevi, wezi, majambazi, waongo, na kila aina ya watenda maovu. Wanapoingia kanisani kuomba TOBA huwa ni jambo la siri baina yake na padri, wakisha pata toba wanarudi kwenye mstari kimya kimya pasipo kuwa exposed kwa waumini wengine.
Hakuna uspesho wowote walionao mashoga kiasi kwamba kanisa lishugulike nao kuwabaliki badala ya kuingia kanisani kama watu wanaopinga ushoga na watu wanaotaka msaada ili waache tabia yao hiyo chafu ya ushoga.
Sasa kanisa kumbukeni mambo huanza mdogo mdogo namna hii ya kuwabaliki mashoga na mwisho kabisa ni kuanza kuwafungisha ndoa wanaume wawili ndani ya kanisa takatifu la kristo.
Waumini hatutakubaliana na jambo hilo, ni bora nitafute kanisa lingine la kikristo nikamuabudu Yesu huko kuliko kufungamana na ninyi kwa kuruhusu dhambi hii ya ushoga kanisani.
Viongozi wa dini nadhani mnakumbukumbi namna dhambi ya ushoga ilivyo uangamiza miji ya Sodoma na Gomola. Mungu ni yule yule aliye uangamiza miji hiyo kwa kuchukizwa na agenda ya mashoga kuondoa mpango wa Mungu duniani wa mwanaume na mwanamke kuungana pamoja katika ndoa takatifu ili wawe kiwanda cha kuujaza ulimwengu.
Sasa ni muda kwa baraza la maaskofu Tanzania (TEC) kumwandikia barua/ waraka Papa kupingana na hoja yake ya kubaliki mashoga kanisani. Kama ambavyo Tec mlithubutu kuiandikia serikali waraka kupinga uwekezaji wa kimagumashi wa DP World nadhani pia ni muda sahihi kufanya jambo hilo hilo kwa kupinga wazi wazi uamuzi wa papa ili sisi waumini tusiwaone ninyi ni manafiki ambayo bwana Yesu aliwataadhalisha kwenye:
"Mathayo 23:15
[15]Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe."
Mkashamwandikia hiyo barua ya kupinga hoja yake mmwambie hasipokubaliana nanyi ni bora kujitenga nae kuanzisha kanisa la Kristo litakalojulikana kama Tanzanian Catholic litakolodumisha ibada sahihi za bwana wetu Yesu kristo.
Baraza la maaskofu mkishindwa kufanya hivyo kubalini matokeo ya waumini wenu (mimi miongoni mwao) kuwakimbia na kumtafuta Yesu katika madhehebu mengine ya kikristo. Uzuri ni kwamba bwana wetu Yesu kristo hana mipaka kwamba anapatikana tu katika kanisa la RC popote pale unaweza kumuomba na akajibu.
Tumsifu Yesu kristo....
Naunga mkono hoja.Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic.

Hapana mkuu Pwani,Dar na ZnZ ni himaya za Vatican. Waislamu wapo NjombeeZanzibar na Pwani palipo na misikiti na waumini wengi wa kiislamu mbona ndiko kunaongoza kuwa na mashoga wengi?
• Hakuna dini ya maana, dini zote nimkanganyiko tu.Ukristo na Ushoga vinashabihiana, dawa ni kuwa muislam tu.
Uislam ndio dini inayopinga ushoga winja wala.
Ukithibitika wewe ni shoga, huruhusiwi hata kuingia msikitini achilia mbali kubalikiwa.
Ukitaka usiolewe na mwanamme mwenzio ingia kwenye uislam tu, sio kuhama dhehebu la kikristo.
Duh,,,huyu jamaa katibu sana ase.