Mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo

Tafuta sasa na documentary za railroads Australia uone how remote wanapotoa hizo iron ore, line ya reli ina inayofuata chuma ina kilometa ngapi na ukubwa wa train zenyewe ili kupata advantages za economic scales: wakati sisi kujenga kilometre 500 za reli tu hela mtaani aionekani kila mtu analia.

Ujafika sasa kwenye investment za heavy metal na zenyewe zinahitaji umeme wa uhakika, infrastructure kama za reli jumlisha na gharama za kiwanda chenyewe. Ukishafanikisha hayo inabidi uwe nafuu ili uweze ku import maana uzalishaji wenyewe unaweza jikuta unahitaji tonne elfu kadhaa kwa mwaka ili ufikie break even point si ajabu ni kiwango ambacho Tanzania pekee akiwezi tumia kwa hali ya leo.

Mteja wako mkubwa kwa sasa ni serikali ya Tanzania ambae ndio huyu huyu kujenga SGR deni la nchi limeongezeka maradufu.

In other words kujenga kiwanda cha chuma unamwambia serikali akakope kiasi karibu na ujenzi wa phase mbili za SGR, halafu akitoka hapo atafute na hela ya kununua hiko chuma ili ajenge SGR (wakati kuisha haraka kwa SGR kuna benefit zingine kubwa za kiuchumi).

Hakuna nchi itaikopesha Tanzania kujenga icho kiwanda cha chuma kwa uchumi wake wa sasa na kwa upande wa soko la dunia Tanzania aiwezi zalisha chuma ya ku populate ata soko la Kenya na Uganda tu kwa ushindani wa bei kutoka kwa wazalishaji wakubwa.

We Tanzanians need to be realistic kuliko kutoa demands tu.
Uzalishaji wa chuma hauhitaji umeme wowote. Na chuma na bidhaa zake ni mtaji hivyo siyo mpaka uiuze, kwanza bei yake ipo chini sana. Chuma inarahisiha kilimo, usafiri, uzalishaji nk. Chuma ni mtaji.
 
Hayo ni matumizi ya common sense, kuwa huwezi huwezi huwezi huna huna huna. Hata Rais ilimbidi atumie his uncommon sense kuhamia Dodoma kulikomshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Kuamia Dodoma majengo yenyewe ya serikali mengi yana gharama za billioni moja mpaka tatu so far jengo lilichokua hela nyingi ni la uhamiaji pekee na lenyewe alizidi 10 billion.

That’s not the point kusema kitu kinawezekana au la sio swala la theory pia kujua chuma kinavyopatikana.

Unachotakiwa kutuambia ni investments costs zinazohitajika kuchimba chuma ie from primary production kiasi gani cha mchanga kinaitaji kuchotwa kwa siku mashine gani inatumika, transportation mpaka kwenye secondary production train (reli yenyewe ipo au inabidi ijengwe) au tutatumia tipers (ngapi), gharama za mafuta, mishahara yield inayopatikana kwenye secondary production ujue production level zako na kama it’s enough to meet the local demand.

Then uje kwenye gharama za secondary production inayotenganisha mchanga na chuma gharama za icho kiwanda, umeme na kutoka hapo kupeleka kwenye tertiary production inayoweza mould heavy iron for different usage gharama zake, kiwanda size cha size gani ambacho kitaziba pengo la importation.

Njoo walau na hizo data; otherwise kulaumu tu. Watu wengi Tanzania wanaviwanja, mchanga upo, cement ipo, nondo zipo, paa zipo, mafundi wapo; tatizo ni gharama za kukusanya vitu vyote ivyo upate nyumba kulingana na mapato ya wananchi wengi ndio maana wafanyakazi wengi wanaishia kukodi.

Hakuna asiejua faida za chuma kwenye uchumi issue can the government afford to invest in that project at this moment given its constraints and if so will it be economic viable given our current economic status. Hapo ndipo unapotakiwa kushawishi.
 
Uzalishaji wa chuma hauhitaji umeme wowote. Na chuma na bidhaa zake ni mtaji hivyo siyo mpaka uiuze, kwanza bei yake ipo chini sana. Chuma inarahisiha kilimo, usafiri, uzalishaji nk. Chuma ni mtaji.
Unazungumzia stage gani ya uzalishaji na chuma cha aina gani.

Nchi gani ya africa unayoijua wewe yenye kiwanda cha chuma ambacho ni classified as heavy iron industry?
 
Chuma kimeanza kutumika kujenga reli na magari hata kabla umeme haujagunduliwa. Vitu vinavohitaji umeme mwingi sana ni copper na aluminium.
 
05883446-8C5A-4631-B505-3E44577E23B3.jpeg

Nimekuwekea hiyo extract uone mwekezaji alichofanya Nigeria baada ya kuwekeza $1.5 billion, imebidi awekeze na kwenye umeme.

Ukitaka facts zaidi google most polluting industries halafu uone heavy metal inachukua nafasi yangapi.

Moja ya sababu kubwa chuma cha China ni rahisi ni kwa sababu kwao hakuna gharama za carbon emmission whereas nchi nyingi wanazo import that is the condition for local industries na ndio sababu ya kufunga viwanda vyao.

Mjomba gharama za kiwanda cha heavy metal sio za mzaha mzaha kama hizi za viwanda vyetu vinavyotengeneza nondo za kujengea nyumba za kawaida. Hila kama unataka kujenga Burj Khalifa chuma unachokihitaji sio cha kitoto.
 
Mapinduzi ya viwanda Ulaya na Marekani kwenye karne ya kumi na sita yaliletwa na chuma na makaa ya mawe.

Sisi tunavyo hapa lkn tumeshindwa kuvitumia kuleta hayo mapinduzi ya viwanda. Tunaongelea viwanda kuhadaa umma ili tupewe kura.
 
Tafuta sasa na documentary za railroads Australia uone how remote wanapotoa hizo iron ore, line ya reli ina inayofuata chuma ina kilometa ngapi na ukubwa wa train zenyewe ili kupata advantages za economic scales: wakati sisi kujenga kilometre 500 za reli tu hela mtaani aionekani kila mtu analia.

Ujafika sasa kwenye investment za heavy metal na zenyewe zinahitaji umeme wa uhakika, infrastructure kama za reli jumlisha na gharama za kiwanda chenyewe. Ukishafanikisha hayo inabidi uwe nafuu ili uweze ku import maana uzalishaji wenyewe unaweza jikuta unahitaji tonne elfu kadhaa kwa mwaka ili ufikie break even point si ajabu ni kiwango ambacho Tanzania pekee akiwezi tumia kwa hali ya leo.

Mteja wako mkubwa kwa sasa ni serikali ya Tanzania ambae ndio huyu huyu kujenga SGR deni la nchi limeongezeka maradufu.

In other words kujenga kiwanda cha chuma unamwambia serikali akakope kiasi karibu na ujenzi wa phase mbili za SGR, halafu akitoka hapo atafute na hela ya kununua hiko chuma ili ajenge SGR (wakati kuisha haraka kwa SGR kuna benefit zingine kubwa za kiuchumi).

Hakuna nchi itaikopesha Tanzania kujenga icho kiwanda cha chuma kwa uchumi wake wa sasa na kwa upande wa soko la dunia Tanzania aiwezi zalisha chuma ya ku populate ata soko la Kenya na Uganda tu kwa ushindani wa bei kutoka kwa wazalishaji wakubwa.

We Tanzanians need to be realistic kuliko kutoa demands tu.
Hizi ndio 'mindsets' za hatuwezi!

Mkuu, inaelekea hujui kuwa hicho chuma cha Liganga na mkaa wa Mchuchuma ni mradi uliotakiwa uwe tayari unazalisha vifaa hivyo siku nyingi tu kama urasimu ungepigwa marufuku kuuchelewesha,; kwani wawekezaji walisha-'commit' kuutekeleza siku nyingi. NDC na mChina walikuwa tayari kuutekeleza mradi huo. Haieleweki vikwazo vinatoka wapi hasa!

Being "realistic" sio sababu ya kuwa na uoga wa kufanya jambo linaloonekana lina mafaa makubwa kwa taifa.
Kwani "economies of scale" zinapatikana huko Australia pekee, sisi hatuwezi tukatumia 'economic advantages' nyingine katika bidhaa hiyo ili tushindane katika soko la chuma?
Soko la Afrika yote hii hatuwezi kulitumia kwa kupata soko hilo kupitia AfCFTA?
 
Unachotakiwa kutuambia ni investments costs zinazohitajika kuchimba chuma ie from primary production kiasi gani cha mchanga kinaitaji kuchotwa kwa siku mashine gani inatumika, transportation mpaka kwenye secondary production train (reli yenyewe ipo au inabidi ijengwe) au tutatumia tipers (ngapi), gharama za mafuta, mishahara yield inayopatikana kwenye secondary production ujue production level zako na kama it’s enough to meet the local demand.
Eeenh, kama ni hivi hutajenga chochote mkuu,; maana kila kitu utakuwa huwezi, huwezi!

Lakini najua unakoegemea, bila shaka hiyo ndiyo fani yako!
 
Nickel haiwezi kutufikisha popote sisi kuliko chuma.
Mbona nickel hiyo hiyo ikichanganywa na chuma vinatoa vitu vizuri zaidi, au hili hujalifuatilia vizuri?

Kwa sasa tunapoteza mali ghafi yetu nzuri hii kwa kuisafirisha nje kama mali ghafi bila ya kupanga kuitumia pamoja na chuma tulichonacho ili kuongeza thamani zaidi kwa vyote viwili; nickel na chuma.
 
View attachment 1686684

Nimekuwekea hiyo extract uone mwekezaji alichofanya Nigeria baada ya kuwekeza $1.5 billion, imebidi awekeze na kwenye umeme.

Ukitaka facts zaidi google most polluting industries halafu uone heavy metal inachukua nafasi yangapi.

Moja ya sababu kubwa chuma cha China ni rahisi ni kwa sababu kwao hakuna gharama za carbon emmission whereas nchi nyingi wanazo import that is the condition for local industries na ndio sababu ya kufunga viwanda vyao.

Mjomba gharama za kiwanda cha heavy metal sio za mzaha mzaha kama hizi za viwanda vyetu vinavyotengeneza nondo za kujengea nyumba za kawaida. Hila kama unataka kujenga Burj Khalifa chuma unachokihitaji sio cha kitoto.
Ok

Nimesoma hiyo link yako. Nimeona pia kuwa Kenya wanatumia Usd 1.3billion kujenga plant huko Mombasa. Hiyo itazalisha ton 84,000 kwa mwaka. Mahitaji ya Kenya ni 480,000 kwa mwaka. Hii inaonyesha mahitaji ni makubwa kuliko upatikanaji wa steel. Hapo hapo wamesema serikali ya Kenya inahamasisha uwekezaji kwenye kuchimba iron ore ndani mwao.

Hii kitu haiwezi kutushinda. Chuma ghafi tunacho na makaa tunayo. $1.5 bln haiwezi kutushinda. Hapo kwenye kuzalisha umeme, kishistoria viwanda vya chuma huwa havihitaji umeme. Labda siku hizi vimekuja vipya ambavyo vinateknolojia kubwa au viko automated.

Tunaweza kuzalisha chuma na faida yake ni kubwa sana. Zamani haikuwezekana kujenga majengo marefu wala madaraja imara. Jamaa anaitwa Carnegie akaumiza kichwa jinsi ya kupata chuma imara. Akaenda kwa wataalamu akakuta wanatengeneza steel lakini njia waliyokuwa wanaumia ilikuwq ya gharama sana hivyo waliweza tengeneza steel kwaajili ya vijiko, visu na vitu vidogovidogo. Aliwaambia kama anaweza pata chuma imara hivyo kwaajili ya Daraja. Wakamwambia gharama yake itakuwa kubwa sana. Akawaambia watafute njia ya kuzalisha kwa bei ndogo. Wakaingia kazini.

Wakatoka na majibu yaliyowezesha madaraja ya chuma na skyscrapers kuwepo hadi leo. Penye nia pana njia. Tunajua kabisa tunahitaji chuma, lazima tukizalishe kwa njia yoyote ile. Umuhimu wa kuzalisha chuma ni kama kuzalisha umeme au kujenga barabara, vinaonekana kama ni gharama kubwa lakini hufunguq maelfu ya fursa.
 
Ok
Nimesoma hiyo link yako. Nimeona pia kuwa Kenya wanatumia Usd 1.3billion kujenga plant huko Mombasa. Hiyo itazalisha ton 84,000 kwa mwaka. Mahitaji ya Kenya ni 480,000 kwa mwaka. Hii inaonyesha mahitaji ni makubwa kuliko upatikanaji wa steel. Hapo hapo wamesema serikali ya Kenya inahamasisha uwekezaji kwenye kuchimba iron ore ndani mwao.

Hii kitu haiwezi kutushinda. Chuma ghafi tunacho na makaa tunayo. $1.5 bln haiwezi kutushinda. Hapo kwenye kuzalisha umeme, kishistoria viwanda vya chuma huwa havihitaji umeme. Labda siku hizi vimekuja vipya ambavyo vinateknolojia kubwa au viko automated.

Tunaweza kuzalisha chuma na faida yake ni kubwa sana. Zamani haikuwezekana kujenga majengo marefu wala madaraja imara. Jamaa anaitwa Carnegie akaumiza kichwa jinsi ya kupata chuma imara. Akaenda kwa wataalamu akakuta wanatengeneza steel lakini njia waliyokuwa wanaumia ilikuwq ya gharama sana hivyo waliweza tengeneza steel kwaajili ya vijiko, visu na vitu vidogovidogo. Aliwaambia kama anaweza pata chuma imara hivyo kwaajili ya Daraja. Wakamwambia gharama yake itakuwa kubwa sana. Akawaambia watafute njia ya kuzalisha kwa bei ndogo. Wakaingia kazini.

Wakatoka na majibu yaliyowezesha madaraja ya chuma na skyscrapers kuwepo hadi leo. Penye nia pana njia. Tunajua kabisa tunahitaji chuma, lazima tukizalishe kwa njia yoyote ile. Umuhimu wa kuzalisha chuma ni kama kuzalisha umeme au kujenga barabara, vinaonekana kama ni gharama kubwa lakini hufunguq maelfu ya fursa.
Hizi ndio 'mindsets' za hatuwezi!

Mkuu, inaelekea hujui kuwa hicho chuma cha Liganga na mkaa wa Mchuchuma ni mradi uliotakiwa uwe tayari unazalisha vifaa hivyo siku nyingi tu kama urasimu ungepigwa marufuku kuuchelewesha,; kwani wawekezaji walisha-'commit' kuutekeleza siku nyingi. NDC na mChina walikuwa tayari kuutekeleza mradi huo. Haieleweki vikwazo vinatoka wapi hasa!

Being "realistic" sio sababu ya kuwa na uoga wa kufanya jambo linaloonekana lina mafaa makubwa kwa taifa.
Kwani "economies of scale" zinapatikana huko Australia pekee, sisi hatuwezi tukatumia 'economic advantages' nyingine katika bidhaa hiyo ili tushindane katika soko la chuma?
Soko la Afrika yote hii hatuwezi kulitumia kwa kupata soko hilo kupitia AfCFTA?

Hakuna anae kataa umuhimu wa huo uwekezaji alikadhalika hili sio swala la chicken and egg conundrum, which appeared first.

Mwingine anadai kuna wawekezaji walijitokeza as far as I know wachina Mchuchuma walikuwa interested na makaa ya mawe for importation purposes ila sio kujenga kiwanda cha chuma na kama wangekuwa na nia izo sidhani kama wangezuiwa or else leta ushahidi hata wa article.

Having said that ndio maana nikasema nyie watu inabidi muwe realistic mtu anaona article inasema kiwanda cha chuma huko halipo quote vimetumia gharama za $1.3-1.5 billion + uwekezaji wa umeme kwenye icho kiwanda cha Nigeria na ndio kwanza vinauwezo wa kuzalisha tonne 20K kwa mwezi.

Ujenzi wa SGR yote mpaka kuisha ni $3billion dollars mpaka sasa hata nusu atujafika serikali hoi, huyo anaetuambia kila siku tunajenga kwa hela zetu siku hizi anawaambia wachina mtu-kopeshe tumalize mradi wazi wazi.

Halafu nyie mna suggest serikali ingetumia kwanza almost $1.5 billion kujenga reasonable size steeel plant, ikimaliza hapo itafute hela za kujenga SGR huku ikiwa na deni ambalo inabidi itafute vyanzo vingine vya mapato kuligharamia, wakati ikianza kujenga SGR mradi ukiisha unaanza kuwaingizia mapato na kuna direct effects za kuchochea uchumi mahala utakapo pita kuwaongezea mapato mengine ya kodi na kulimudu deni.

Unaanza kutambaa, kusimama na mwisho kutembea and not otherwise; kwa mapato ya sasa we have to prioritise.

Zama za kina Andrew Carnigie watu hela walikuwa wanatengeneza wenyewe wakishirikiana na private kama hakina Morgan Stanley ndio maana ikawa raisi hao watu kufanya hiyo miradi. Hata kesho US wakiingia vitani wana amuru tu central banks zao kuchapa notes, wanunua silaha na kuingia vitani sisi hatuna uwezo huo.

South Africa one of biggest producers wa iron ore kashindwa tengeneza icho kiwanda cha kuhudumia soko la Africa iwe sisi kwa hali yetu ya sasa.

Sisemi atukihitaji hiko kiwanda ila kwa uchumi wetu wa sasa hizo hela can yield better return in other investments to propel growth for now; huko mbele sawa.
 
kuzifahamu faida za SGR kwetu kunahitaji ubongo mkubwa sana. Huwezi kufahamu uwekezaji wa SGR utatuiingizia faida gani mpaka kwanza ufahamu hesabu zifuatazo:

1. Gharama halisi ya kuijenga SGR ni hela ngapi
2. Tutasafirisha nini kutoka na kurudi DSM kwa njia ya SGR
3. Hasara gani wafanyabiashara wa magari ya mizigo na abiria na wataingia wamiliki, wafanyakazi wa magari hayo, wafanyabishara kandokando ya barabara wanaotegemea uwepo wa magari hayo njiani kama vile mahoteli, wafanyabiashara ndogondogo wa vitunguu, nyanya, kuku, nk njiani yatakayopisha nafasi ya SGR kufanya kazi za malori na mabasi hayo na na serikali kukosa kodi ya malori na mabasi ya njia hiyo.
4. Wauza spea za malori na mabari
Uharibifu wa miundombinu na hasa barabara kutokana na kubeba uzito mkubwa wa magari! Mbona hujaitaja hiyo point
 
Hakuna anae kataa umuhimu wa huo uwekezaji alikadhalika hili sio swala la chicken and egg conundrum, which appeared first.

Mwingine anadai kuna wawekezaji walijitokeza as far as I know wachina Mchuchuma walikuwa interested na makaa ya mawe for importation purposes ila sio kujenga kiwanda cha chuma na kama wangekuwa na nia izo sidhani kama wangezuiwa or else leta ushahidi hata wa article.

Having said that ndio maana nikasema nyie watu inabidi muwe realistic mtu anaona article inasema kiwanda cha chuma huko halipo quote vimetumia gharama za $1.3-1.5 billion + uwekezaji wa umeme kwenye icho kiwanda cha Nigeria na ndio kwanza vinauwezo wa kuzalisha tonne 20K kwa mwezi.

Ujenzi wa SGR yote mpaka kuisha ni $3billion dollars mpaka sasa hata nusu atujafika serikali hoi, huyo anaetuambia kila siku tunajenga kwa hela zetu siku hizi anawaambia wachina mtu-kopeshe tumalize mradi wazi wazi.

Halafu nyie mna suggest serikali ingetumia kwanza almost $1.5 billion kujenga reasonable size steeel plant, ikimaliza hapo itafute hela za kujenga SGR huku ikiwa na deni ambalo inabidi itafute vyanzo vingine vya mapato kuligharamia, wakati ikianza kujenga SGR mradi ukiisha unaanza kuwaingizia mapato na kuna direct effects za kuchochea uchumi mahala utakapo pita kuwaongezea mapato mengine ya kodi na kulimudu deni.

Unaanza kutambaa, kusimama na mwisho kutembea and not otherwise; kwa mapato ya sasa we have to prioritise.

Zama za kina Andrew Carnigie watu hela walikuwa wanatengeneza wenyewe wakishirikiana na private kama hakina Morgan Stanley ndio maana ikawa raisi hao watu kufanya hiyo miradi. Hata kesho US wakiingia vitani wana amuru tu central banks zao kuchapa notes, wanunua silaha na kuingia vitani sisi hatuna uwezo huo.

South Africa one of biggest producers wa iron ore kashindwa tengeneza icho kiwanda cha kuhudumia soko la Africa iwe sisi kwa hali yetu ya sasa.

Sisemi atukihitaji hiko kiwanda ila kwa uchumi wetu wa sasa hizo hela can yield better return in other investments to propel growth for now; huko mbele sawa.
Huwezi kufananisha faida za kuwa na SGR na faida za nchi kuzalisha chuma. Chuma kingeweza kujenga hiyo SGR. Hilo suala liko wazi. Labda kama unabisha kwa sababu una ajenda yako ya kutaka kupotosha umma lakini ukweli upo wazi. Kwa sasa Kenya ndiyo wazalishaji wakubwa wa chuma EA na wanaendelea kujenga plant zingine.

China anaunua chuma Australia, Brazili nk. Hapa kwetu alitaka kufanya uwekezaji wa billion 1.4usd pamoja na reli ili atoe chuma Njombe hadi Mtwara. China hana shida na makaa ya mawe hadi aje ayafuate huku. Njaa yake ni chuma. Ule mradi ulikwama pamoja na ule wa bandari ya Bagamoyo.
 
Basically unachosema uwekezaji waliokuwa wakitaka wachina ni kwa sababu ya kubeba iron ore sio kijenga kiwanda cha kutoa final products ndio yale yale.

Kitu ambacho uangalii wewe kwa sasa ni opportunity cost ya kujenga reli au kufanya investment kwenye chuma; hapo ndio u-justify.

Serikali aina uwezo wa kufanya uwekezaji wa aina hiyo kwa sasa na sio economic viable, labda aje mwekezaji au walazimishe kama kwenye ✈️.

Halafu mada kama hizi kuleta ushabiki wa siasa huwa aipendezi so sina upande naangalia merit za hoja based on investment appraisals.
 
Mwingine anadai kuna wawekezaji walijitokeza as far as I know wachina Mchuchuma walikuwa interested na makaa ya mawe for importation purposes ila sio kujenga kiwanda cha chuma na kama wangekuwa na nia izo sidhani kama wangezuiwa or else leta ushahidi hata wa article.
Hii inaonyesha unaweka ubishi kwa jambo usilokuwa nalo ufahamu; tabia ya ajabu sana hiyo.
 
South Africa one of biggest producers wa iron ore kashindwa tengeneza icho kiwanda cha kuhudumia soko la Africa iwe sisi kwa hali yetu ya sasa.

Sisemi atukihitaji hiko kiwanda ila kwa uchumi wetu wa sasa hizo hela can yield better return in other investments to propel growth for now; huko mbele sawa.
Sioni kitu cha kujibu katika andiko lako lote hafifu.
 
Hahahaaaa acha kuota mkuu, we are after money, hatuchimbichimbi, you can not extract minerals before doing an economical analysis. Is it economical?
Mkuu hawa ndg zako wanaidi madini yoyot yanachimbwa kama mihogo shambani
Ni lazima tuna na Economic evaluation & analysis yakutosha ili uchimbe chuma ni lazima hu_ improve kwenye high technology
 
Bora tungechimba chuma kuliko SGR, chuma haina hasara. SGR ni Kama ndege Hakuna masikini atakaemudu panda. Ni maalumu kwa ajili ya middle na upper income people.
Kwani uper na Middle Income eaner kwanini nawewe usiwe sehemu yao.
Au unataka wote Wawe kama wewe, acha akili za Kimasikini kirusi wewe
 
Basically unachosema uwekezaji waliokuwa wakitaka wachina ni kwa sababu ya kubeba iron ore sio kiwanda cha kutoa final products ndio yale yale.

Kitu ambacho uangalii wewe kwa sasa ni opportunity cost ya kujenga reli au kufanya investment kwenye chuma; hapo ndio u-justify.

Serikali uwezo kufanya uwekezaji wa aina hiyo kwa sasa sio economic viable, labda aje mwekezaji au walazimishe kama kwenye ✈️.

Halafu mada kama hizi kuleta ushabiki wa siasa huwa hazina aipendezi so sina upande naangalia merit za hoja based on investment appraisals.
Sijaweka ushabiki wa kisiasa hapa. Miradi kama hii ambayo inaweza geuza kabisa uchumi wa nchi huwa inapata upinzani mwingi sana. Niliandika kwenye jukwaa la great thinkers jinsi US ilivyomzuia mjapan kumuuzia Korea Kaskazini kinu cha kufua chuma. Alijua umuhimu wa chuma kwa nchi.

Hapa kwetu mtu anaweza pinga kwa ajenda mbalimbali. Labda ni mkenya hataki Tanzania iwe na chuma, Labda ni msauzi anaogopa upinzani sokoni nk. Wazo la ubishani wa kisiasa halikuwepo kabisa.

Chuma hata usikiingize kwenye kucompare na uwekezaji mwingine kwenye ishu za opportunity cost. Chuma ni kama elimu, hospitali, barabara, madaraja na vitu vingine vya msingi kwa nchi. Hii siyo bidhaa tu ya kuuza na kununua, ni kitu cha msingi kama elimu na afya. Inatakiwa kufanya kila njia kuwa nayo.

Unafikiri kwanini wachina wako tayari kutoa Ore Njombe, kusafirisha mpaka Mtwara kupakia kwenye meli mpaka uchina? Unafikiri imeweza kuwa mzalishaji namba moja duniani kihivihivi?. Kama yeye ameweza kusafirisha chuma toka Brazil, SA na Australia na anaona kuna faida, sisi tunashindwa nini kuchimba na kusafisha hapo hapo?
 
Back
Top Bottom