THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Shukran Mkuu,
Tumekaribia,
Tatizo la Pasco ni uoga na kutojiamin,,
Atakimbia hapa muda si mrefu...!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran Mkuu,
Tumekaribia,
Tatizo la Pasco ni uoga na kutojiamin,,
Atakimbia hapa muda si mrefu...!!!
Pasco,
Kumbe hivi ndivyo unavyofanya research au ndio umepanga na kina Salim Kikeke muyatkufushe hayo Mauwaji thru BBC na.wewe ndie field corespondent mpaka 13/1/2013. Teh teh. Poor Pasco
waliopelekwa arabuni watakua wachache sana maana huko ni jangwa wangepelekwa kufanya nini wakati hakuna mashamba?
zanzinews.com said:![]()
Huu ndio Mnara unaotarajiwa kujengwa katika Viwanja vya Michenzani kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi unatarajiwa kuanza ujenzi wake kuanzia sasa na kuwa Kivutio cha Watalii wanaokuja kutembelea Zanzibar kama ilivyo sehemu nyengine za Dunia kuwekwa sehemu ya kumbukumbu ya matukio muhimu.
Serekali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ inakusudia kujenga mnara maalum utakaotoa kielelezo cha kumbukumbu ya miaka 50 tangu yafanyike Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964.
Januari 12 mwakani Zanzibar itaadhimisha kutimia miaka 50 tangu kufanyika kwa mapinduzi ya mwaka 1964 ambayo yaliuondosha utawala wa Sultani.
Hivi wale watumwa wengi waliochukuliwa uarabuni waliishia wepi.ningefurahi kuona ndugu wetu hao kama ilivyo kwa waliotoka afrika magharibi wanavyoonekana marekani
Watu wanaofikiri kwa kutumia MAKATO utawajua tu. Mtu katoa hoja bila kuutaja uislamu wewe unaanza kujihami. Kwani waarabu kuwa waislamu ndio kwamba hawakutenda ubaya? Waarabu si ndio wanaua waislamu wenzao kule Dafur? Mada inawahusu waarabu na si wazungu. Tumia kichwa kufikiri na sio hicho kiungo cha biashara yenu kule znz na Tanga.
mkuu hivi yesu ni nani naona dogo ana kondoo wengi tu... what are Arabs doing since the place is desert?
Khaa!! Tofauti Ulaya na America ambapo Wafrika waliruhusiwa kuzaana wenyewe kwa wenyewe, Arabuni Wanaume walihasiwa (kwa kukatwa kengele) ila wanawake waliachwa na walitumika kama chombo cha starehe. Wengi wao waliuawa baada yakupata mimba wachache waliachwa na ndiyo kizazi cha nusu uarabu kinachoonekana leo huko.waliopelekwa arabuni watakua wachache sana maana huko ni jangwa wangepelekwa kufanya nini wakati hakuna mashamba?
mkuu hivi yesu ni nani naona dogo ana kondoo wengi tu
Lakini kwa nini Pasco anashambuliwa humu; je huu mnara unajengwa au haujengwi? Field Marshall John Okelo kweli alifanya kazi kubwa inayotambulika ardhini na majini...siku njema.
Kwa habari zaidi bonyeza hapa; Kumbukumbu ya Mapiunduzi Matukufu ya 1964.
Asante kwa ufafanuzi.huo mnara uwe kumbukumbu ya waafrika waliohasiwa na kuuwawa huko utumwani. Michoro ibadilishwe tuone sura zao matesoni.saifia kuonyesha dizaini nzuriKhaa!! Tofauti Ulaya na America ambapo Wafrika waliruhusiwa kuzaana wenyewe kwa wenyewe, Arabuni Wanaume walihasiwa (kwa kukatwa kengele) ila wanawake waliachwa na walitumika kama chombo cha starehe. Wengi wao waliuawa baada yakupata mimba wachache waliachwa na ndiyo kizazi cha nusu uarabu kinachoonekana leo huko.
Mkuu kwani biashara ya utumwa ilifanywa na muarabu peke yake?
I see, so they left because of Bantu Paranoia. Is there any relation between Arabs and Islam? I bet there is.....
All of them were decapitated by Jibril's sons.