Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Pasco,

Kumbe hivi ndivyo unavyofanya research au ndio umepanga na kina Salim Kikeke muyatkufushe hayo Mauwaji thru BBC na.wewe ndie field corespondent mpaka 13/1/2013. Teh teh. Poor Pasco


Kumbe kakimbilia kwa salim kikeke tena ambae ni mtu wa kuhoji tuh na kumuacha msimuliz mwenyewe Mohamed Said??

Kwelii Pasco amevurugwa sana,,

Pasco njoo uchukue bahasha ndug yangu,teh teh teh...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco

Mbona unapingana na hoja yako ya mwanzo kumbe Okello hakufanya Mapinduzi Zanzibar kumbe na yeye alitangulizwa mbele tu, vinara wa Mapinduzi ni kina nani? Tufahamishe Pasco.

mkuu huko umeenda mbali sana, na pengine utapelekea swali lako kuwa gumu. We huliza baba wa Taifa wa la ZANzi ni nani???
(a)John Okelo
(b)Abeid Karume
(c)Sultani bin Said
 
Last edited by a moderator:



Lakini kwa nini Pasco anashambuliwa humu; je huu mnara unajengwa au haujengwi? Field Marshall John Okelo kweli alifanya kazi kubwa inayotambulika ardhini na majini...siku njema.

Kwa habari zaidi bonyeza hapa; Kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya 1964.
 
Hapa sasa naona Pasco unatuchanganya bandiko lako la mwanzo na hili ni tofauti,
 
Last edited by a moderator:
Hivi wale watumwa wengi waliochukuliwa uarabuni waliishia wepi.ningefurahi kuona ndugu wetu hao kama ilivyo kwa waliotoka afrika magharibi wanavyoonekana marekani

Khaa sio mdio hao kina Augustino ramadhani. Seif bakari balozi iddi seif sepetu nk
 

Mkuu kwani biashara ya utumwa ilifanywa na muarabu peke yake?
 
waliopelekwa arabuni watakua wachache sana maana huko ni jangwa wangepelekwa kufanya nini wakati hakuna mashamba?
Khaa!! Tofauti Ulaya na America ambapo Wafrika waliruhusiwa kuzaana wenyewe kwa wenyewe, Arabuni Wanaume walihasiwa (kwa kukatwa kengele) ila wanawake waliachwa na walitumika kama chombo cha starehe. Wengi wao waliuawa baada yakupata mimba wachache waliachwa na ndiyo kizazi cha nusu uarabu kinachoonekana leo huko.
 

Hivi wewe Mag3 akili yako iko salama huyu unayemuita Field Marshall John. Okello alifanya kazi kubwa ipi wacha kupotosha historia na huyo mwenzako Pasco.
 
Asante kwa ufafanuzi.huo mnara uwe kumbukumbu ya waafrika waliohasiwa na kuuwawa huko utumwani. Michoro ibadilishwe tuone sura zao matesoni.saifia kuonyesha dizaini nzuri
 
I see, so they left because of Bantu Paranoia. Is there any relation between Arabs and Islam? I bet there is.....

How about vatican/jerusalem and mafia including children kidnapping!
And molestation!

There is definitely relations there.

Maxshimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…