Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!


Haya ni mapinduzi makubwa tuliyokuwa tunayalilia JamiiForums iweze kufikia wasomaji nje ya Tanzania kwa lugha zote.

JamiiForums imefungua mlango mpya Tanzania kuweza kusomwa na ulimwengu wote.

Hongereni sana timu nzima ya staffs na uongozi wote wa JamiiForums
 
Yaani nimuulize member humu maswali yangu, halafu badala ya kunijibu kwa akili yake, atumie AI?!

No way!.
 
Bwana Max Mello ni lini tutatumia Jf bila vpn ???
Nadhani tushirikiane to push our Govt kuondoa such restrictions sio kwa JF tu bali kwa mitandao yote.

Tunajaribu upande wetu, ila nanyi wananchi msichukulie kama ni jambo la kuachwa lipite tu.
 
Translate ya AI katika uzi huu inatoa tafsiri nzuri sahihi kuliko ya google
 
Karibu mkuu wangu.
Asante kwa mrejesho
Bwana, bwanaaaa so far akili unde iko vizuri kwenye hizi AI suggestions za replies, hata kwenye mambo yetu ya raha haipo nyuma.

⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️ Nimependa kwamba unaweza kuchagua tone ya reply iwe friendly, humorous, sarcastic au professional.




⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️ Hizi thread sumamry nazo zimenifurahisha 😂😂







⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️ Hii option ya kusuggest title baada ya kuandika nyuzi nayo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Acha tusubiri maoni ya wengine, ila so far kwangu naona ni useful tool na itaongeza engagement kwenye mijadala.
 
Asante sana Jf management kwa maboresho hayo ya kijanja sana.
 
Nadhani tushirikiane to push our Govt kuondoa such restrictions sio kwa JF tu bali kwa mitandao yote.

Tunajaribu upande wetu, ila nanyi wananchi msichukulie kama ni jambo la

Nadhani tushirikiane to push our Govt kuondoa such restrictions sio kwa JF tu bali kwa mitandao yote.

Tunajaribu upande wetu, ila nanyi wananchi msichukulie kama ni jambo la kuachwa lipite tu.
Sawa mkuu nimekuelewa,vipi mkuu hauna buku hapo mkuu kidogo nipate kuishi mwana jf mwenzio mkuu??.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…