City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Shukrani sana mkuu 🤝
Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.Mkuu,
Tools hazijawa deployed, mnazikataa? Labda baada ya kuzijaribu ndo mzikatae.
Kingine kilichopo, ni kurahisisha kwa wageni kufanya translation ya mjadala instantly kwa lugha wanayoelewa.
Pia, kuna kuandaa kufanya summary ya mjadala mzima kwa mtu ambaye anakuta ameachwa ili ajue nini kinajadiliwa ili aweze ku-engage accordingly.
Mabinti wa JF watakosa soko kisa ujio wa AI, hii ni mbaya sana.Angalia Nyangwisi secretarybird ataitongoza kimasihara mpaka AI yenyewe
Asante sana mkuu.Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.
Naona JF ilichelewa sana ,hakuna kurudi nyuma ,sisi ambao tunatumia AI tunajua umuhimu wake.
As promised mkuu,Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.
Naona JF ilichelewa sana ,hakuna kurudi nyuma ,sisi ambao tunatumia AI tunajua umuhimu wake.
Tutaenda taratibu mkuu wangu, tutafika.Na sisi wahafidhina ambao hatuko tayari kwa hayo mabadiliko ya AI mnatusaidiaje!
Safi sana Mkuu ,Mambo ni 🔥🔥🔥As promised mkuu,
Tools deployed.
Tunashukuru kwa maoni na ushauri
Kuna vitu tunajaribu kuhakikisha kwanza; issue sio technology ya kufanya hivyo.Ni lini mtatuwekea kipingele Cha ku stream live na contents za videos pamoja na reels.
Haina faida yoyote mkuu. Ila, kuna wateja WACHACHE SANA wana uhitaji nayo.Mnazingua sasa nyie AI ya nini humu
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23]Linajua kusutana?
Wambea tuko leleleee asije kutuvurugia umbea wetu tutamchamba huyo AI wenu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mods wawe AI labda hawatokuwa na mihemko.