Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Asante kwa taarifa
Tunasubiri
Tunasubiri
4) Kutengeneza Picha: Unahitaji picha maalum kusindikiza bandiko lako? Sasa utaweza kuiagiza AI itengeneze picha papo hapo kulingana na maelezo unayoyatoa. Hapa, inabidi uelewe 'prompt engineering' kwa kiasi ili kupata matokeo chanya.💪🏿💥Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi.
Nawatakia wakati mwema.
Hili ni wazo jema ila pia ingependeza kabisaa iweze kukontrol na zile nyuzi ambazo hazina maana na faida kwa jamiii na haina faida yeyote kuwepo kwenye jukwaaa ziwe zinatoka baada ya mda fulani zinajifuta automaticJe, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi.
Nawatakia wakati mwema.
Huu ndo ukweli mbaya ambao watu wanaogopa kuutoa. Sidhani kama tunahitaji AI hapa jukwaani. Maana kama mtu akileta hoja yake hapa aloicopy huko chatGPT lazima watu wamtukane, sasa kwanini leo tuwe na AI built-in jukwaani humuhumu? Nadhani tutaendelea kupunguza uwezo wa kufikiri, kuchambua na kuchangia.Ebu ngoja tuone, ingawa nina mashaka na uasili wa JF kwenda kupoteza ladha yake.
Nashauri Maxence Melo afanye mchakato ili wana JF tupige kura kwenye huu uzi ili kuamua jambo hili,Huu ndo ukweli mbaya ambao watu wanaogopa kuutoa. Sidhani kama tunahitaji AI hapa jukwaani. Maana kama mtu akileta hoja yake hapa aloicopy huko chatGPT lazima watu wamtukane, sasa kwanini leo tuwe na AI built-in jukwaani humuhumu? Nadhani tutaendelea kupunguza uwezo wa kufikiri, kuchambua na kuchangia.
Ni kweli kabisa. Alete huo mfumo wake tuujaribu hata kwa eiki moja tu then tupige kura. Maana nadhani watu tuliopo hapa JF tunaipenda hivi ilivo, ndomaana hatujadili huko X, Fb wala Insta. Wakianza kutubadirishia jukwaa watakua hawatutendei haki.Nashauri Maxence Melo afanye mchakato ili wana JF tupige kura kwenye huu uzi ili kuamua jambo hili,
Binafsi naona JF inaenda kupoteza mvuto.
JF inapendeza hivi ilivyo,Ni kweli kabisa. Alete huo mfumo wake tuujaribu hata kwa eiki moja tu then tupige kura. Maana nadhani watu tuliopo hapa JF tunaipenda hivi ilivo, ndomaana hatujadili huko X, Fb wala Insta. Wakianza kutubadirishia jukwaa watakua hawatutendei haki.
Why????? Here is where we dare to talk openly. Controlled conversations sio tamaduni ya JF. Acha kupotosha mkuu, wazo lako halina afya kabisa.Hili ni wazo jema ila pia ingependeza kabisaa iweze kukontrol na zile nyuzi ambazo hazina maana na faida kwa jamiii na haina faida yeyote kuwepo kwenye jukwaaa ziwe zinatoka baada ya mda fulani zinajifuta automatic
Upige kura uamue nn Mkuu, Acha waliotuletea JF wafanye watakavyo mana JF sio mtandao wa wanachama.Nashauri Maxence Melo afanye mchakato ili wana JF tupige kura kwenye huu uzi ili kuamua jambo hili,
Binafsi naona JF inaenda kupoteza mvuto.
Bila members hakuna JF.Upige kura uamue nn Mkuu, Acha waliotuletea JF wafanye watakavyo mana JF sio mtandao wa wanachama.
Utaombwa maoni tuu na sio maamuzi.
Hahahahaaaaa.. Tutaacha kuingia JF, maana itakua ni sawa na kugoogle tu. Na tufaham kua AI inakupa majibu ambayo inayaona mara nyingi mtandaoni, na pia yanaweza yakawa hayapo sahihi. Kuna watu humu wana material adim ambayo hata kwenye main stream medias huyakuti, huoni kama hapa AI itatuzingua. Na nnadhani kitu kinachotuvutia wanajikwaa hapa JF ni kujenga hoja kama hizi bila kua na muingilio wala mfungamano na mtu yeyote au computer assistance. Siipingi hiyo AI lakini naomba niseme kua sioni umuhim wake.JF inapendeza hivi ilivyo,
Kujadili na robbot ni sawa na kupiga nyeto badala ya kua na Mwanamke.
Kisa hukuwepo wakati wa kutafuta uhuru ndo utulie nchi waipeleke watakavyo???Upige kura uamue nn Mkuu, Acha waliotuletea JF wafanye watakavyo mana JF sio mtandao wa wanachama.
Utaombwa maoni tuu na sio maamuzi.
Tulipoondoa tukachambwa humu humu! Mkuu, hukuwa mtetezi wetuTuondoleeni swala la kubonyeza Next kila baada ya post 20
Basically, nalo linaanza siku chache zijazo ajili ya precision. Tumeanza na content reporting.Na mods wawe AI labda hawatokuwa na mihemko.
Mkuu,Nashauri Maxence Melo afanye mchakato ili wana JF tupige kura kwenye huu uzi ili kuamua jambo hili,
Binafsi naona JF inaenda kupoteza mvuto.