cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ulichambwa na nani??Tulipoondoa tukachambwa humu humu! Mkuu, hukuwa mtetezi wetu

[emoji23][emoji23][emoji23]Wazo zuri [emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
View attachment 3573479
Kwangu tayari naona hizo Ai features zipo, ngoja niende kusummarize zile nyuzi zangu pendwa nijionee akili unde ina accuracy kwa kiasi gani.
Karibu mkuu wangu.Wazo zuri 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
View attachment 3573479
Kwangu tayari naona hizo Ai features zipo, ngoja niende kusummarize zile nyuzi zangu pendwa nijionee akili unde ina accuracy kwa kiasi gani.
Kuna tread kule jukwaa la malalamiko. UtanielewaUlichambwa na nani??
Nafurahi App ya JF umeruhusu itumike ktk chanzo fulani, imetulia na ni rahisi mno.Kuna tread kule jukwaa la malalamiko. Utanielewa
Kwan JF ina memba wangapi Mkuu, tatizo n tunaiona JF n kubwa kwakuwa tupo ndani ya JF ila sio kweli.Bila members hakuna JF.
Mnafanya vizuri sana lakini mna tatizo Moja kuu la kiusimamizi kwenye hoja za maana na nzutito kama za kiafya, kiuchumi, ujasiriamali, kilimo, vifaa mbalimbali electronics nk .Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi.
Mimi na wenzangu (timu nzima) tunayo furaha kuwatangazia kuwa kuanzia wikendi hii, tunaleta mapinduzi hayo mikononi mwenu! Tunazindua zana mpya za Teknolojia ya Akili Unde/Mnemba (AI) hapa jukwaani.
Lengo letu si kubadilisha asili ya mijadala yetu inayoongozwa na binadamu, bali ni kuwapa uwezo zaidi ili kufanya mazungumzo yenu kuwa hai na yenye tija zaidi.
Zana hizi mpya zimeundwa kuwa rahisi sana kutumia na zitawapa faida zifuatazo mara moja:
1) Majibu Mahiri na Msaada wa Papo Hapo: Pata mapendekezo ya haraka ya kujenga hoja zako na msaada wa kimawazo unapokwama kuandika. Zitaokoa muda wako sana!
2) Utafiti wa Haraka: Kusanya taarifa na ukweli (facts) kwa haraka zaidi bila kulazimika kuondoka kwenye uzi.
3) Uchambuzi wa Picha: Unaweza kuweka picha na AI yetu ikakusaidia kusoma na kuchambua yaliyomo ndani yake kwa kina.
4) Kutengeneza Picha: Unahitaji picha maalum kusindikiza bandiko lako? Sasa utaweza kuiagiza AI itengeneze picha papo hapo kulingana na maelezo unayoyatoa. Hapa, inabidi uelewe 'prompt engineering' kwa kiasi ili kupata matokeo chanya.
Kingine kilichopo, ni kurahisisha kwa wageni kufanya translation ya mjadala instantly kwa lugha wanayoelewa.
Pia, kuna kuandaa kufanya summary ya mjadala mzima kwa mtu ambaye anakuta ameachwa ili ajue nini kinajadiliwa ili aweze ku-engage accordingly.
Tungependa wanajamvi wote mpate nafasi ya kufurahia mabadiliko haya.
Tunaomba mzijaribu kwenye mada zenu kisha mtupatie mrejesho wa kweli kabisa—iwe ni sifa, changamoto mlizokutana nazo, au mapendekezo ya nini tuboreshe. Tafadhali, weka maoni yako yote kwenye huu uzi maalum. Mawazo yako yanatusaidia kuboresha zaidi.
Asanteni kwa kuendelea kuifanya JamiiForums kuwa sehemu bora na salama kwa fikra huru. Tukutane kwenye mijadala wikendi hii!
Nawatakia wakati mwema.
Insta, wasap, FB, tik tok nako mnapiga kura?Kisa hukuwepo wakati wa kutafuta uhuru ndo utulie nchi waipeleke watakavyo???
Members tusingekua na umuhimu basi founder asinge tufaamisha kuhusu hili, angetushtukiza tu. Yeye anajua umuhim wetu na ndo maana katushirikisha na anahitaji tutoe maoni yetu.
Wapi mimi nimeiona JF ni kubwa? wala sijaongelea idadi ya members waliomo humu,Kwan JF ina memba wangapi Mkuu, tatizo n tunaiona JF n kubwa kwakuwa tupo ndani ya JF ila sio kweli.
Safi sana.Naam, utakuwepo
Kama hakutokuwa na udhibitiHii AI ipo siku itaturudisha zama za mawe za kati
Hahaha 😂Tulipoondoa tukachambwa humu humu! Mkuu, hukuwa mtetezi wetu
Anxiously waiting.Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi, haraka, na kwa ubora wa kiwango cha juu zaidi.