- Feb 10, 2006
- 4,557
- 16,949
- Thread starter
- #61
Si mchezo, ngoja tumwandae asije akasusa kazi š¤£Huyo AI tutampa nondo mpaka a-logout
Si mchezo, ngoja tumwandae asije akasusa kazi š¤£Huyo AI tutampa nondo mpaka a-logout
How I wish I could force things, ila ngoja tuangalie ātunafanya niniā.Issue ya kutumia VPN inatesa
Asante sana mkongwe! Nice to see you around. Ndo umebadili ID?Shukran sana, Mapinduzi mazuri ya kiteknolojia na kimfumo...Hongereni.
Hata mimi huu ndio wasiwasi wangu mkubwa,Ebu ngoja tuone, ingawa nina mashaka na uasili wa JF kwenda kupoteza ladha yake.
Ndio, nimeshangaa sana hamnipromote kuniweka nafasi inayonistahili kama wenzanguš®āšØAsante sana mkongwe! Nice to see you around. Ndo umebadili ID?
Hapana, jitahidini mwenende na teknolojia... msiachwe nyumaKuanzia week end hii mnakuja kudumaza fikra za watumiaji wa JF.
Teknolojia ya kuwapa watu majibu badala ya kuacha bongo zao zifanye kazi, hiyo kwangu haina maana.Hapana, jitahidini mwenende na teknolojia...msiachwe nyuma
Hapana, within few days watacope with the changesHata mimi huu ndio wasiwasi wangu mkubwa,
AI ina generate content as robotic,Impersonal or boring,which can lead to decrease in trust and isohalation,
Wachangiaji wakisha ona kua post ni AI generated they'll less likely to engage,itasababisha conversations to stall But ngoja tuone itakuaje.
OkayHow I wish I could force things, ila ngoja tuangalie ātunafanya niniā.
Soon, very soon š
Technology is wave ambayo unabidi kuikumbatia time goes .Nyakati za sasa ni zama za AI kutamba.
AI ambayo naona ni bora kuliko Chatgpt na Meta ni AI ya Gemini.
I hope na AI ya JF itakuwa ni bora kama AI ya Gemini.
Ambao hampendi AI subirini mpaka mwaka 2044 huko.Baada ya mwaka 2044 ndipo uwezo na matumizi ya AI yataanza kufifia.
Reasoning yako inashuka kivipi wakati 90% ya mambo Huwa mna-google na mkimaliza mnayaleta hapaTo me hii kitu hapana, utofauti wa JF na mitandao kingine ni reasoning capacity ya most of its members Iko positive.. kuanza kuweka marobot yatufanyie reasoning kwa niaba yetu naona kama inashusha value ya members humu. May be sijaelewa vizuri lengo la max na timu yake.
Jukwaa la wakubwa linakuja? Asili yetu tunawaza ngono mkuu kama haujaweka. Maudhui hayo sioni kama Kuna jipyaAsante sana mkuu wangu.
Kimsingi, nimetaja BAADHI ya kitakachokuwemo ila NI ZAIDI ya hapo.
Google ni sehemu ndogo tu ya kutafuta habari. But reasoning ya kuichakata hiyo habari kulingana na mtazamo wako ndio kitu nachoongelea hapo.Reasoning yako inashuka kivipi wakati 90% ya mambo Huwa mna-google na mkimaliza mnayaleta hapa