mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
umetaja vitu hatarishi mkuu..sema hawakushika hata kijikoaliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umetaja vitu hatarishi mkuu..sema hawakushika hata kijikoaliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduz
Mkuu,tvt ilikuwepo 2000!?Issues za Mapinduzi ya Zanzibar ni very sensitive topic, hivyo ulichofanya mwaka huu ni vema kujifanyia self censorship maana hao wenye TV zao huwa wanaitwa mahali kuhojiwa.
Mimi nilipoteza kazi TBC kwa issue ya Zanzibar!, ule uchaguzi wa 2000, nilikuwa naendesha kipindi cha Ulingo wa Siasa, kwenye uchaguzi wa Zanzibar, kila nikimuomba Amani interview, CCM wanakataa, kila nikimuita Maalim Seif, anakuja, uchaguzi ulipokaribia nikamwalika tena Amani na Seif, Amani hakurespond, Seif akakubali kuja, siku ya kipindi ni kesho, leo naitwa kuelezwa kesho Amani anakuja, nikawaeleza niliisha mualika Maalim na leo amelala Starlight hotel kusubiria kuja kesho, nikaambia m cancel Seif, anakuja Amani. Kweli nikam cancel Maalim, kesho yake Amani akaja, it's very unfortunately yeye sio muongeaji mzuri lakini tukafanya kipindi. Kikaruka, kipindi kilichofuata ndio cha mwisho, hivyo nikamuita Maalim Seif, kumbe Maalim aliangalia kipindi cha Amani, hivyo kwenye kipindi chake, Ali m counter Amani mwanzo mwisho!.
Kwenye uchaguzi wanaijua wenyewe kilichotokea, ila baada ya uchaguzi, nikapigwa zengwe kuwa it was my plan kumtanguliza Amani, kisha nikamleta Seif ili aamalize Amani!. Kwa TVT, that was like treason!. Nilipigwa summary dismissal kwa kosa la insubordination!. That was the end of me TBC.
P
HaramuMapinduzi yalikuwa halala au haramu? Swali limekuwa gumu sana
yes imeanza OOctober 1999Mkuu,tvt ilikuwepo 2000!?
Watoto wa vigogo mkapata nafasi za kazi chapu,wanyonge tukaishia kuomba kazi tuyes imeanza OOctober 1999
P
Nafasi zilitangazwa, watu wakaomba, waliopata wakapata, waliokosa wakakosa, TBC hakuna watoto wowote wa vigogo pale!, TBC sio BOT!.Watoto wa vigogo mkapata nafasi za kazi chapu,wanyonge tukaishia kuomba kazi tu
Mzee mayala alitia mkono bro,japo hujuiNafasi zilitangazwa, watu wakaomba, waliopata wakapata, waliokosa wakakosa, TBC hakuna watoto wowote wa vigogo pale!, TBC sio BOT!.
P
Nikikuambia kitu unaweza usiamini, in my life, sijawahi kufanya connections yoyote ya ajira popote!, naomba tuu, naitwa nafanya interview, napata.Mzee mayala alitia mkono bro,japo hujui
Mapinduzi yalikuwa halala au haramu? Swali limekuwa gumu sana
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.
Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu la kutangaza mapinduzi kwenye radio Zanzibar, ikumbukwe pia wakati mapambano yakiendelea ..aliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduzi na hata ukiangalia ile picha ya wanamapinduzi ya kwanza John Okello amevalia kipolisi na amekaa kama kiongozi rasmi.
Baada ya hali kutulia Okello anamtangaza Karume rais na Abdulrahman Babu kuwa Waziri mkuu. Na ndie aliyeenda kumpokea Karume kutoka alikokuwa amejificha kwa siku kadhaa.
Baada ya siku chache mzee Karume akamfukuza Zanzibar kama mbwa John Okello [Field Marshal] na bila kujali mchango wake anatokomea kusikojulikana na historiaa ya mapinduzi ikafutwa na nafasi ya Okello ikaja kuwa mkwezi, mpiga tofali ambaye alibahatika kupiga picha [akiwa amekaa kitini katikati tu kwa sababu ya kuwa na kipaji cha kuongea - (kumbuka kuwa hata kiswahili chake kilikuwa 0kibovu)]
Naomba kuchokoza mada kuhusu nafasi ya John Okello kwenye mapinduzi, kwa nini historia ilifunikwa?
Je aliishia wapi,..wapenda historia ya kweli wameshatamani hata kujua lilipo kaburi lake..kumbukeni wenzetu Kenya baada ya kugundua hila wanahaha kutafuta kaburi la Field Marshal Dedan Kimathi...mbona wapenda hitoria Zanzibar na Tanganyika kwa jumla hamumtendei haki JOHN OKELLO [FIELDMASHAL]?
View attachment 1923156
==============
Video ikimwonesha Okello,Karume na Babu masaa machache baada ya Mapinduzi
Labda tuelimishane tuu, hiyo 1964 fine color Video na zitoke wapi?!.
who was the producer?, unaujua ukubwa wa color video camera enzi hizo ni 16mm Film Camera, nani ailete Zanzibar?. Uwanja wa ndege ulikuwa umefungwa hicho kipepeo kimerukia wapi?.
P
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.
Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu la kutangaza mapinduzi kwenye radio Zanzibar, ikumbukwe pia wakati mapambano yakiendelea ..aliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduzi na hata ukiangalia ile picha ya wanamapinduzi ya kwanza John Okello amevalia kipolisi na amekaa kama kiongozi rasmi.
Baada ya hali kutulia Okello anamtangaza Karume rais na Abdulrahman Babu kuwa Waziri mkuu. Na ndie aliyeenda kumpokea Karume kutoka alikokuwa amejificha kwa siku kadhaa.
Baada ya siku chache mzee Karume akamfukuza Zanzibar kama mbwa John Okello [Field Marshal] na bila kujali mchango wake anatokomea kusikojulikana na historiaa ya mapinduzi ikafutwa na nafasi ya Okello ikaja kuwa mkwezi, mpiga tofali ambaye alibahatika kupiga picha [akiwa amekaa kitini katikati tu kwa sababu ya kuwa na kipaji cha kuongea - (kumbuka kuwa hata kiswahili chake kilikuwa 0kibovu)]
Naomba kuchokoza mada kuhusu nafasi ya John Okello kwenye mapinduzi, kwa nini historia ilifunikwa?
Je aliishia wapi,..wapenda historia ya kweli wameshatamani hata kujua lilipo kaburi lake..kumbukeni wenzetu Kenya baada ya kugundua hila wanahaha kutafuta kaburi la Field Marshal Dedan Kimathi...mbona wapenda hitoria Zanzibar na Tanganyika kwa jumla hamumtendei haki JOHN OKELLO [FIELDMASHAL]?
View attachment 1923156
==============
Video ikimwonesha Okello,Karume na Babu masaa machache baada ya Mapinduzi
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFUMkuu Matumbo, Baba wa Taifa ni mmoja tuu, Mwalimu Nyerere, Zanzibar sio taifa, ni kitaifa!, ila Baba wa kitaifa hicho ni Abedi Amani Karume!, Okelo anabaki tuu kuwa shujaa wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar!.
Pasco