Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mkuu,tvt ilikuwepo 2000!?
 
Watoto wa vigogo mkapata nafasi za kazi chapu,wanyonge tukaishia kuomba kazi tu
Nafasi zilitangazwa, watu wakaomba, waliopata wakapata, waliokosa wakakosa, TBC hakuna watoto wowote wa vigogo pale!, TBC sio BOT!.
P
 

Hii ni kuibiwa kazi kwa muhusika 😂 😂 😂 😂 😂
 
Labda tuelimishane tuu, hiyo 1964 fine color Video na zitoke wapi?!.
who was the producer?, unaujua ukubwa wa color video camera enzi hizo ni 16mm Film Camera, nani ailete Zanzibar?. Uwanja wa ndege ulikuwa umefungwa hicho kipepeo kimerukia wapi?.
P

Tuliza boli
Mimi kila siku naangalia WW2 history in colour, na hiyo ni 1939 na pia kuna remastered copies za WW1 in colour
Aisee...
Umeniangusha mwandishi....
Kumbe upo nyuma sana
 
KIFUPI WAISLAM HAWANA SHUKRAN
 
Mkuu Matumbo, Baba wa Taifa ni mmoja tuu, Mwalimu Nyerere, Zanzibar sio taifa, ni kitaifa!, ila Baba wa kitaifa hicho ni Abedi Amani Karume!, Okelo anabaki tuu kuwa shujaa wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar!.

Pasco
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…