Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere

Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere

Makaimati,
Kwa mtu mwenye elimu kama huyu Harith Ghassany (Philosoph in Anthropocy), hiki kitabu chake kinadhihirisha jinsi Udini na Ukabila usivyokuwa na mahusiano na upeo wa elimu ya mtu ila nafsi nazo zibnawahukumu. Ameshindwa kujiuliza Zanzbar kabla ya Sultan na wameshindwa kabisa hata kuandika Historia ya Zanzibar kabla ya Sultan isipokuwa Zanzbibar baada ya Sultan. Ameshindwa hata kurudi nyuma kuzungumzia kwamba Sultan alitawala hadi bara kufikia Kindu huko Kongo na kuja nyang'anywa na Waingereza na Mjarumani.

Mimi nilitegemea sana msomi kama huyu angeweza kuzungumzia yasiyofikirika kirahisi. kama Zanzibar ingekuwa vipi kama mwarabu asingekuja kuweka kambi yake Zanzibar. Na nini athari za UKOLONI kwa kutumia experience yake ambayo ilikifanya kisiwa cha Zanzibar kuacha biashara yake kubwa na yenye faida ya kuuza viungo na matunda na kujiingiza ktk biashara ya Utumwa ambayo ni haramu hata ktk Uislaam.

Lakini arguement kubwa ya hawa hawa waarabu utasikia wakisema Sultan alikuwa wa kwanza kuupinga Utumwa, ili hali Utumwa upo hadi leo Oman, Saudia na nchi zote za kiarabu wamejaa wahindi, philipino na Wamaley wakitumwa kama mbwa. Na hakika ktk list ya Mafisadi Rostam amekuwa wa kwanza kumwaga manyanga lakini haimfanyi yeye mbora zaidi ya kina Lowassa na Chenge. Fisadi asiyekubali makosa yake bado ni fisadi na pengine ni hatari zaidi kama simba alojeruhiwa.

Ningependa sana kama msomi yeyote angekuja hapa na kutuhadithia Zanzibar kabla ya Usultan na mazuri yake jinsi ilivyokuwa kilinge cha biashara (trade centre) na pengine mji mkuu wa Afrika nzima jambo ambalo viongozi wetu wa leo wanaweza kabisa kuirudisha Zanzibar ktk hali ile kwani sababu zote bado zipo...
 
Wewe ndiye usiyejua kwamba Marekani wana interest na mafuta tu na ndio maana wanatoa misaada sana kwa baadhi ya nchi za kiarabu ili kuleta influence. Hayo ya udini huwa yanatumiwa ili kupata support ndio maana hata wewe unataja kuwa "damu za waislamu" bila kujali kama kuna watu wengine wasio waislamu wanaouawa!

Wakuu, nimejaribu kuifuatilia kwa mbali hii thread, nimegundua japo kwa uchache kwamba ina chembe za uongo wenye lengo la kuhalalisha malalamiko ya unaosemekana uonevu wa Ukristo dhidi ya Uislam. Kuna maeneo mwandishi anadai Kambona alipeleka silaha kuwezesha mapinduzi, lakini maeneo mengine anasema silaha zilizotoka Algeria na zilizokusudiwa kupelekwa Mozambique, na baadhi zenye kuwekwa alama nyeusi kwa ajili ya Zanzibar hazikuwahi kufika Zanzibar kabla ya mapinduzi.

Aidha, anajaribu kuelezea jinsi historia ya Tangayika ilivyopora kufahamika ushiriki wa Waislam katika kudai uhuru bila kujali au kujua kwamba wale wazee wetu walikuwa wakipigania uhuru siyo kidini bali kiuzalendo. Maana ingekuwa wameweka maslahi ya dini mbele kama anavyotaka tuamini, basi wasingemkaribisha Mwl. Nyerere, mkristo kutoka bara katika TAA na hatimaye TANU. Wao hawakuangalia dini, na ndiyo maana wakati mwingine walikuwa wakifanya matambiko ili kufanikisha harakati za kupata uhuru wa Tanganyika wakiwa pamoja na Mwl. Nyerere. Zile zilikuwa ni mila za pwani zaidi kuliko Uislam.
 
Hicho kitabu watunzi walimuuliza Nyerere, Okello, Karume na wengine juu ya Mapindizi ya Zanzibar au ni one sided story? Je, kuna document zozote mithili ya zile za WikiLeaks juu ya tukio zima au ni masimilizi ya wazee wanaokunywa kahawa kule Mji Mkongwe?
Kuna Document za nyeti,kuna watu wa nyeti walioko zanzibar na tanzania bara,wenyine walikimbilia nchini wengereza,america na nchi nyengine,muandishi wa kitabu amekitunga au maendika kwa kufuata taratibu zote,sio lazima akutane na nyerere na karume,kwani kwakati wa mapinduzi hawakuwako peke yao hao watu,wako watu kama Nassor moyo,na wengine.

Wewe unaonekana unapinga sana lakini hujakisoma hicho kitabu,inaonekana wewe sio msomi,cha msingi kukusaidia soma kwanza ikisha lete hoja,ndio tutakuona mtu mwenye akili na msomi na unaongea kitu ambacho kwa mawazo yako kwa muono wako na tutaheshimu mawazo yako,lakini unaongea pumba tu.
 
Hata hayo yote hamuoni kuwa tuliweza kuishi bila udini wakristo na waislamu kuishi pamoja na hata kuoana? hatukuvurugana kama Somalia wana dini moja, kama Rwanda na wana dini moja...

Kwani alichukua Mali Zanzibar mnataka zirudishwe? Angalia Rais Mwinyi alivurunda akajiuzuli na bado akawa Rais wa Tanganyika na Zanzibar, watoto wake woote wamesoma na wameshika Madaraka Makubwa hata zaidi ya watoto wa Nyerere...

Wana Mali nyingi zaidi ya watoto wa Nyerere wanaotegemea BUTIAMA...

Kwanini tusiache hayo ya zamani tugange mapya? Jamani hakuna hata shukrani Moja? au Maisha yenu ni kukosoana ili kushibisha matumbo?
 
1963-UN-Zanzibar.jpg Hawa ni wazanzibari baada ya kupata uhuru mwaka 1963 katika umoja wa mataifa UN,huyo alieva miwani ndie waziri mkuu wa zanzibar ,jee pia ni muarabu ? angalia na hao walioko nyuma yake jee ni waarabu ? Mapinduzi ya zanzibar yalisimama kibaguzi,kwanza uislamu,pili nyerere ilimotka roho kutokana na uchumi wa zanzibar,zanzibar ilikuwa na uchumi mzuri hata maendeleo kwa wakati huo yalikuwa yananendana na nchi zilizoelea kama rasia,america na uwengereza.

Nyerere aliona choyo na kuona visiwa hivi ninamsumbua na vinamkewa,wallah kama sio mapinduzi haya zanzibar ingelikuwa mbali sana kiuchumi katika bara la afirca.
 
Hata hayo yote hamuoni kuwa tuliweza kuishi bila udini wakristo na waislamu kuishi pamoja na hata kuoana? hatukuvurugana kama Somalia wana dini moja, kama Rwanda na wana dini moja...

Kwani alichukua Mali Zanzibar mnataka zirudishwe? Angalia Rais Mwinyi alivurunda akajiuzuli na bado akawa Rais wa Tanganyika na Zanzibar, watoto wake woote wamesoma na wameshika Madaraka Makubwa hata zaidi ya watoto wa Nyerere...

Wana Mali nyingi zaidi ya watoto wa Nyerere wanaotegemea BUTIAMA...

Kwanini tusiache hayo ya zamani tugange mapya? Jamani hakuna hata shukrani Moja? au Maisha yenu ni kukosoana ili kushibisha matumbo?
Hapa sasa hivi tunataka tuondokane na ule ujinga wa kina nyerere,muandishi ametaka kufahamu zaidi kwa wale walisoma kicho kitabu,au kama hukusoma ukitafute usome ili uwelewe hisotory ya zanzibar chini ya mapinduzi,pamoja na tanganyika.

Hisotry zetu zimepotoshwa kwakutumia chuki za ukabila na rangi,na ndio maana mpaka hivi sasa chiki hizi zinaendele kuwekwa mstari wa mbele,na walioleta chuki hizi ni huyu Nyerere na wakada wake wazungu kuja kuleta mapinduzi ambayo yametuathiri hadi wakati huu.

Ukiangalia muungano wetu ambao miaka 47 una msukumo wa kulazimisha,ukiangalia kila uchaguzi kunatoa mitafaruku na kufikia watu kuuliwa zanzibar kama mulivyokuwa mukiona,haya yote ni kuenzi mapinduzi ya 1964 ya zanzibar na tanganyiaka 1961.

Amka kijana,lazima tufahamu ukweli kwanza ili ndio tuweze kufanya solution ya kudumu,ikiwa uhuru na uwazi na ukweli tutaukataa basi hatuwezi kufika mbali,na juzi juzi tu Tundu Lissu alisema bungeni tupeni siri ya muungano lakini viongozi wanalikwepa.
 
View attachment 34697 Hawa ni wazanzibari baada ya kupata uhuru mwaka 1963 katika umoja wa mataifa UN,huyo alieva miwani ndie waziri mkuu wa zanzibar ,jee pia ni muarabu ? angalia na hao walioko nyuma yake jee ni waarabu ? Mapinduzi ya zanzibar yalisimama kibaguzi,kwanza uislamu,pili nyerere ilimotka roho kutokana na uchumi wa zanzibar,zanzibar ilikuwa na uchumi mzuri hata maendeleo kwa wakati huo yalikuwa yananendana na nchi zilizoelea kama rasia,america na uwengereza.

Nyerere aliona choyo na kuona visiwa hivi ninamsumbua na vinamkewa,wallah kama sio mapinduzi haya zanzibar ingelikuwa mbali sana kiuchumi katika bara la afirca.
As long as Nyerere did not take any wealth from Zanzibari any time Zanzibar can become what you have wanted... Remember he did not take your blood as other African leaders... he did not quite the opposition he let them prosper Overseas... and enjoying their lives so one day they can go back to Zanzibar... those who remained in Zanzibar they did get Education for free and now they are expressing their feelings... was he a great leader? Look what is happening in Somaili, Syria, Yemen and Bahrain...SWEET JUSTICE???
 
Hapa sasa hivi tunataka tuondokane na ule ujinga wa kina nyerere,muandishi ametaka kufahamu zaidi kwa wale walisoma kicho kitabu,au kama hukusoma ukitafute usome ili uwelewe hisotory ya zanzibar chini ya mapinduzi,pamoja na tanganyika.

Hisotry zetu zimepotoshwa kwakutumia chuki za ukabila na rangi,na ndio maana mpaka hivi sasa chiki hizi zinaendele kuwekwa mstari wa mbele,na walioleta chuki hizi ni huyu Nyerere na wakada wake wazungu kuja kuleta mapinduzi ambayo yametuathiri hadi wakati huu.

Ukiangalia muungano wetu ambao miaka 47 una msukumo wa kulazimisha,ukiangalia kila uchaguzi kunatoa mitafaruku na kufikia watu kuuliwa zanzibar kama mulivyokuwa mukiona,haya yote ni kuenzi mapinduzi ya 1964 ya zanzibar na tanganyiaka 1961.

Amka kijana,lazima tufahamu ukweli kwanza ili ndio tuweze kufanya solution ya kudumu,ikiwa uhuru na uwazi na ukweli tutaukataa basi hatuwezi kufika mbali,na juzi juzi tu Tundu Lissu alisema bungeni tupeni siri ya muungano lakini viongozi wanalikwepa.
MY Friend Ukiangalia Nchi zote zilizopata uhuru za kiafrika zilikumbana na matatizo makubwa ya Ukabila, Udini, Rangi, Mali, Ardhi na Maendeleo zote zilikuwa bado ni watumwa wa mabepari mfano Zaire, Kenya au Kupata Viongozi wapenda damu Idd Amin, Nigeria, Libya n.k au Mapinduzi ya Nguvu... Nchi zote Africa zilikuwa zinatawaliwa kwa Manguvu kulikuwa hakuna Demokrasia... Sasa Wewe unarudi huko tena? kwanini usijiendeleze, kwanini kukwapua Machungu, kila mtu hakufurahia ya Nyerere lakini hakuchukua Damu... Makabila Mengine yalizuiwa kuendelea ili madogo yaendelee sasa wao pia wakianza kulalamika tutafika kweli? Zanzibar hakuchukua Mali hata kidogo... Mkiomba Viongozi wenu huru kujiondoa Muungano watafanikiwa kuliko kulala na ya Miaka 50 iliyopita... Lalama Lalama hao Viongozi wenu hawakukimbilia nchi za kiarabu walikimbilia Uingereza na Marekani sababu? Demokrasia - Uarabuni wangechinjwa.... BE REALISTIC!!!
 
As long as Nyerere did not take any wealth from Zanzibari any time Zanzibar can become what you have wanted... Remember he did not take your blood as other African leaders... he did not quite the opposition he let them prosper Overseas... and enjoying their lives so one day they can go back to Zanzibar... those who remained in Zanzibar they did get Education for free and now they are expressing their feelings... was he a great leader? Look what is happening in Somaili, Syria, Yemen and Bahrain...SWEET JUSTICE???
what yu sei my friend ? Yu sed he didnt take ma blood ? How cud yu know that ? am mix race,ma father is black afirca ma mother is white middle east,so that what i know ma mother family blood droop on da floor coz if this shit,ma grand father and grand father died on dis shit mapinduzi.

I have feeling,na inaniuma sana kuletewa huu upumbavu wa rangi na ukabila,hapa kwetu zanzibar hakukuwa na ubaguzi huu wangi,nafamau fika juu ya mapinduzi,yalilengwa na namna gani,mimi mzaliwa wa zanzibar na familiya yangu na wazee wangu wote,iwe muarabu iwe muafrica,an am so pround,ukimzalilisha mama yangu kuwa ni muarabu na ndio walikuja zanzibar kuwatawala waafirca weusi wa zanzibar sitokubali,na ukinambia baba yangu muafrica mweuzi ametawaliwa na wa muwarabu na kufanya mtumwa sitokubali,kwa sababu.

Haya ni maneno na chochoko za kikafiria alizoleta nyerere na wazungu,nafahamu fika history ya nchi yangu zanzibar kabla ya mapinduzi,tatizo la watu kutoka bara tanganyika wanaongea juu juu tu,na kumuona nyerere ni baba wa taifa alopigania uhuru wa tanzania/tanganyika,lakini maskini roho zenu,sisi hatumjui nyerere wazanzibari kwani hakupigania taifa letu bali alikuja kutuharibia nchi yetu.

Mungu ata m burn inshallah.
 
what yu sei my friend ? Yu sed he didnt take ma blood ? How cud yu know that ? am mix race,ma father is black afirca ma mother is white middle east,so that what i know ma mother family blood droop on da floor coz if this shit,ma grand father and grand father died on dis shit mapinduzi.

I have feeling,na inaniuma sana kuletewa huu upumbavu wa rangi na ukabila,hapa kwetu zanzibar hakukuwa na ubaguzi huu wangi,nafamau fika juu ya mapinduzi,yalilengwa na namna gani,mimi mzaliwa wa zanzibar na familiya yangu na wazee wangu wote,iwe muarabu iwe muafrica,an am so pround,ukimzalilisha mama yangu kuwa ni muarabu na ndio walikuja zanzibar kuwatawala waafirca weusi wa zanzibar sitokubali,na ukinambia baba yangu muafrica mweuzi ametawaliwa na wa muwarabu na kufanya mtumwa sitokubali,kwa sababu.

Haya ni maneno na chochoko za kikafiria alizoleta nyerere na wazungu,nafahamu fika history ya nchi yangu zanzibar kabla ya mapinduzi,tatizo la watu kutoka bara tanganyika wanaongea juu juu tu,na kumuona nyerere ni baba wa taifa alopigania uhuru wa tanzania/tanganyika,lakini maskini roho zenu,sisi hatumjui nyerere wazanzibari kwani hakupigania taifa letu bali alikuja kutuharibia nchi yetu.

Mungu ata m burn inshallah.
Wow Rangi simaanishi wazungu... WOW - Na simuiti Nyerere Baba Wa Taifa, ninasema alituondolea matatizo ambayo Nchi Nyingine za Kiafrika Zinazo, kama wewe ni mpenda Demokrasia Unaonaja GULF STATES? Zina Democrasia zaidi ya Zanzibar?

Zanzibar ipo palepale hakuna mtu wa bara ana ardhi ya kuwazulumu wazanzibari, na utafurahi alifanya hivyo wengi wamesoma sasa, wengi wana pesa na you never know all the investments will be owned by Zanzibari so hakuna mali kwenda nje kama Zaire (Congo Kinshasa) kinachowakumba sasa... Think MY FRIEND and Appreciate IT
 
what yu sei my friend ? Yu sed he didnt take ma blood ? How cud yu know that ? am mix race,ma father is black afirca ma mother is white middle east,so that what i know ma mother family blood droop on da floor coz if this shit,ma grand father and grand father died on dis shit mapinduzi.

I have feeling,na inaniuma sana kuletewa huu upumbavu wa rangi na ukabila,hapa kwetu zanzibar hakukuwa na ubaguzi huu wangi,nafamau fika juu ya mapinduzi,yalilengwa na namna gani,mimi mzaliwa wa zanzibar na familiya yangu na wazee wangu wote,iwe muarabu iwe muafrica,an am so pround,ukimzalilisha mama yangu kuwa ni muarabu na ndio walikuja zanzibar kuwatawala waafirca weusi wa zanzibar sitokubali,na ukinambia baba yangu muafrica mweuzi ametawaliwa na wa muwarabu na kufanya mtumwa sitokubali,kwa sababu.

Haya ni maneno na chochoko za kikafiria alizoleta nyerere na wazungu,nafahamu fika history ya nchi yangu zanzibar kabla ya mapinduzi,tatizo la watu kutoka bara tanganyika wanaongea juu juu tu,na kumuona nyerere ni baba wa taifa alopigania uhuru wa tanzania/tanganyika,lakini maskini roho zenu,sisi hatumjui nyerere wazanzibari kwani hakupigania taifa letu bali alikuja kutuharibia nchi yetu.

Mungu ata m burn inshallah.
Pole sana kama mababu zako upande wa mama walikufa katika mapinduzi. Lakini on the same token tunawakumbuka pia mababu na mabibi weusi waliofia Zanzibar katika unyama wa kitumwa uliofanywa na mababu zako upande wa mama. Ni unyama huo wa utwana na ubwana uliopelekea mapinduzi ya 1964. Get a life!
 
Ukisoma kitabu cha KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU cha mwandishi Harith Ghassany unakaribia kulia ukijua kwamba kumbe Mapinduzi ya Zanzibar si kama tunavyoyajuwa.Kwa upande mwengine kumbe uongo ni kitu kibaya sana kinacholeta maangamizi katika jamii.
Mwandishi anastahiki sifa kubwa ya kuwa mtafiti aliyebobea.Amehojiana na watu muhimu walioshiriki kuipindua serikali ya Zanzibar ambao wengi wala si wenye kusikika.

Ukisoma hiki kitabu ushahidi uko wazi kuwa mapinduzi yale yalikuwa ya chuki za kikabila na kidini na hayakufanywa na wazanzibari wenyewe.Kumbe Nyerere ndiye aliyesuka na kugharimia mapinduzi yale akikitumia chama cha TANU.
Viongozi wa mapinduzi wao wenyewe hawakujua kipi hasa kilikuwa kikiwaongoza kufanya mapinduzi,ni kumuondoa mwarabu mwenye rangi nyeupe na kumuweka mwafrika wa rangi nyeusi au ni kuwaweka watu wa bara waiongoze Zanzibar.Kauli zao na matendo ni vyenye kujichanganya.

Waliokuwa wakitawala Zanzibar walikuwa ni waislamu lakini hawakutekeleza uislamu,hili ni moja ya kosa lao kubwa.Ubwanyenye na ujinga wa kiutawala ulitoa fursa kwa maadui zao kuwapindua kirahisi.Hata hivyo nguvu ya adui aliyekuwa ndani yao na nje wasingekuwa na uwezo wa kuhimili tena.
Katika mkanganyiko huu walioathirika zaidi bila kosa ni wazanzibari waliotafsiriwa na viongozi wa mapinduzi kwamba wana asili ya kiarabu,wengi wao wakiwa wala hawako kwenye utawala.

Nyerere alipata kusema kuwa udini na ubaguzi ni kama ukoma lakini kwa hakika alitumia ukabila na ubaguzi kujenga udini.
Nyerere kwa Afrika anaweza kuitwa baba wa Mapinduzi.Yeye aliweza kuongoza Mapinduzi ya Zanzibar,akawapinduwa waislamu ndani ya TANU na hupati taabu kuona kwamba yeye alishiriki kumuua Karume kupitia kamanda wake Ali Mahfudh.Nyerere alikuwa na damu ya kimapinduzi tu lakini si kwamba mapinduzi aliyoyafanya yalikuwa yana umuhimu.
Kwa wakristo Nyerere anaweza kuonekana ni shujaa lakini kwa waislamu ni mtu mbaya mno.

Nakubaliana sana na maalim Ghassan kwa kudurudisha hilo. Na mkitaka kujua zaidi kuhusu UDINI someni kijitabu cha Padre Salvalon kinachoitwa "Kanisa katoliki na siasa za Tanzania Bara 1953- 1985"
 
Nakubaliana sana na maalim Ghassan kwa kudurudisha hilo. Na mkitaka kujua zaidi kuhusu UDINI someni kijitabu cha Padre Salvalon kinachoitwa "Kanisa katoliki na siasa za Tanzania Bara 1953- 1985"
Sasa baada ya 1985 - TODATE mabadiliko gani yamefanyika kusaidia Waislamu? Na ni Bora sasa hivi au la?

Sasa hicho kitabu kakiandikia USA kwanini asifanye Hivyo wakati Akiwa Falme za Kiarabu?
 
Pole sana kama mababu zako upande wa mama walikufa katika mapinduzi. Lakini on the same token tunawakumbuka pia mababu na mabibi weusi waliofia Zanzibar katika unyama wa kitumwa uliofanywa na mababu zako upande wa mama. Ni unyama huo wa utwana na ubwana uliopelekea mapinduzi ya 1964. Get a life!
Ndugu yangu utumwa hadi kufika miaka ya 1900 hakukuwa na utumwa tena zanzibar,na wazanzbari weusi hawaka watumwa mnamo wa miaka 1963 baada ya zanzibar kupata uhuru wake kutoka kwa wanegereza na kujiunga katika umoja wa mataifa,hizi ndio storry zilizopo sasa hivi na zinapotoa vizazi vyetu,zanzibar ipo history mpaka sasa,kama wataka kujua njoo zanzibar tukusomeshe,ila hapa zanzibar kuna tour guide ambao kutoka tanzania bara ambao wanao potoa history ya zanzibar,wacha hivyo elimu tunayosmomeshwa shule inatupotoa vile.

Tunasoma kama vita vya maji maji,vita vya wahehe,lakini zanzibar hakukuwa na vita hivyo,yote ni kumtukuza nyerere juu ya mapinduzi ya zanzibar,ukweli ni kwamba mapinduzi yalifanywa hayakuwa ya wazanzibari wenyewe,bali ni wageni kutoka nje ya zanzibar.

Karume alikuja zanzibar mtoto wa kubebwa mgongoni,ni mtu wa malawi,amekulia zanzibar na hao wengine walishiriki katika mapinduzi ni waganda ambao wakiishi zanzibar na wengine kujipenyeza penyeza kwa agenda maalum.

Muungano wetu haukuwa wa kuunganisha nchi bali ulikuwa wa kisiasa na vitisho,na vitisho hivyo vilikuja baada ya kumtisha karume ili asije kupinduliwa wazifa wake.

Ndugu hapa kuna siri kubwa.
 
Kuuliwaa Uislam Zanzibar ni ajenda maalum.

Nianze kwa kuangalia historia ya Zanzibar huko nyuma kidogo kabla ya Mapinduzi yanayojulikana kama matukufu kwa baadhi ya waumini wa Mapinduzi hayo, huku baadhi ya walio wengi hadi leo wanaamini kwamba Mapinduzi hayo yalikuwa ni janga kuu ambalo liliikumba dola ya Zanzibar.Historia inatufunza mengi juu ya Mapinduzi yaliofanywa kuipundua dola huru ya Zanzibar lakini pia kwa Wazanzibar kupoteza utaifa wao kwenye ramani ya ulimwengu ni suala la kujadiliwa kwa undani kabisa.

Ni dhahiri kwamba Historia ya Zanzibar imepotoshwa na baadhi ya Wahafidhina wachache ili kulinda maslahi yao na pia kuendeleza ile siri nzito ambayo walio wengi hususani vizazi vipya vimeshindwa kuelewa historia ya Visiwa hivi mashuhuri katika mwambao wa Afrika Mashariki.Ni huzuni lioje kwa Wazanzibar leo hii, ambapo kwa sasa wengi wao wamesambaratika na kuviacha visiwa vyao kama vile hawavijui au hawakuzaliwa ama kuishi humo katika maisha yao.
Uislam Zanzibar ndio uliokuwa dira na mfumo wa maisha wa mabibi na mababu zetu,hili lilikuwa wazi na kila Mzanzibar wakati huo aliheshimu na kufuata mila na silka za utamaduni huo.
Zanzibar ilisifika kwa mfumo mzuri wa elimu ya dini na kwa vile Wazanzibar walijitokeza kuonesha umahiri wao katika fani hiyo, jambo ambalo iliifanya Zanzibar kuonekana kama ni lulu na kitovu cha Uislam katika mwambao wa Afrika Mashariki na kati, wakiongoza kwa Mamufti na Maimamu wakubwa wenye elimu, vipaji na hadhina marudufu ya dini ya kiislam.
.
Wakati huo huo historia pia ilituonesha ni jinsi gani Mataifa makubwa kama vile Mwengereza na Roma walivyokuwa wakifanya kila lilowezekana kuona kwamba ukristo unazagaa na kuabudiwa Duniani, huku wakipanga mbinu za kuzitawala baadhi ya nchi ambazo walihisi zilikuwa na maslahi makubwa ya kiuchumi kwao.Pia Wakoloni hawa waliitumia dini ya kristo kama ni silaha ya maridadi ya kuzitawala zile nchi ambazo kwa upande wao zilikuwa na maslahi nazo, kwa maana hiyo Uislam ilikuwa ni kikwazo kwao na ulitishia maslah kwao, na haikuwa rahisi kwao kujipenyeza bila kutumia mbinu hii ya dini na uokozi.Mwingereza aliingia ukanda wa Afrika mashariki kwa mtindo wa kusambaza dini, jambo ambalo halikuwa kikwazo kwa kuikamata Tanganyika licha ya kwamba Tanganyika Uislam ulikuwa mkubwa kabla ya kuja kwa Wakoloni hao wa Kijeruman na Waingereza.
Mwengereza alicheza karata mzuri dhidi ya Tanganyika na kuwabatiza walio wengi kwa maana hiyo hakuwa na kazi kubwa kuwasambaratisha Waislam kule Tanganyika. Hii iliwezekena kirahisi tu pale Watanganyika walipoanza kudai uhuru wao na kuona njia pekee kwa wao kupata uhuru kwa urahisi ni kumchagua kiongozi ambae ni mkiristo ili iwe rahisi kwa wao kukubalika na Mataifa makubwa na kujikomboa.Mwalimu Nyerere alionekana ndio mtu pekee kwa wakati ule na hapa Mwengereza hakusita kuitumia nafasi hiyo kumpika Mwalim Nyerere na kumuahidi kumlinda ili kuutetea Ukristo kwa Maslahi ya Mwengereza na Waroma.

Baada ya kufanikiwa agenda yao hiyo na kuiuwa ile East africa muslim agency, Mwalim Nyerere alipewa jukumu la kuidhibiti Zanzibar jukumu ambalo halikuwa rahisi kwa wakati huo. Jukumu hili lihitaji maarifa,mali, mipango,agenda na akili ya hali ya juu, kwani kinyume chake ingeleta tatizo sio kwa Afrika Mashariki tu lakini hata Duniani kwa zile nchi zenye uislam na itikadi pamoja na msimamo mkali wakati huo.Mbinu na msaada mkubwa ulihitajika ili kuona kwamba Wazanzibar wanashindwa kung'amua mbinu hizo za Wakoloni hao ambazo alikabidhiwa Mwalim Nyerere kuuwa Uislam Zanzibar.
Shauri hili liliwauma vichwa sana Waingereza hatimae wakaamua kuandaa mpango wa siri zidi ya Zanzibar kwa kumtumia Mwalim Nyerere kuandaa mpango wa kuidhibiti Zanzibar.
Shauri ambalo alishauriwa Mwalim Nyerere ni kufanya Muungano kwa kisingizio cha kuisadia Zanzibar katika mambo ya kiulinzi. Lakini katika agenda hiyo Nyerere alisisitizwa kwamba lazima awe muangalifu na afuate masharti yote kwani kutozingatia masharti hayo ni kuwashtua Wazanzibar ambao kwa wakati ule macho yao yalikuwa wazi kung'amua hila na mbinu hizo.

Moja ya sharti alilopewa Mwalim Nyerere ni kwamba mpango ulioandaliwa ni wa muda mrefu kwa maana hiyo hautakiwi kufanyiwa haraka, kwa vile Zanzibar imashekubali kuungana nao japo kwa hila na mbinu, hali lazima iendelee hatua kwa hatua mpaka Wazanzibar wasalimu amri wenyewe.
Waingereza walimwambia Mwalim Nyerere kwamba mpango wao utakuchukua nusu karne au ikibidi karne mzima kufanikiwa kwani sio jambo rahisi kukubalika kwa Wazanzibar ambapo kwa wakati huo asilimia ya Waislam ilikuwa mia fil mia.Walibuni mbinu nyingi lakini moja wapo ni kuona inapofika nusu karne tokea Mapinduzi kuasisiwa na kuunganishwa kwa Zanzibar na Tanganyika lile wimbi la uislam kiimani liwe limeondoka na iwe adhana inashindikana kusikilizwa Zanzibar. Lakini katika kipindi hichi cha mpito Wakristo wazidi kujiimarisha na kujipenyeza Visiwani huku wakiimarisha Nyumba za ibada yaani Makanisa kila kichochoro. Mbinu hii ifanywe kwa umakini mkubwa bila ya wenyewe kushtuka ili wakija wakiamka waone tayari Zanzibar imekuwa na mchanganyiko mkubwa kati ya waumini wa Kiislam na Wakristo, jambo ambalo leo hii wamefanikiwa sana Visiwani.

Mwalim Nyerere alipewa draft mzima wa mpango huu na aliutumia kwa makini na usiri mkubwa sana, ndio maana ukaona kila mwaka katika sherehe za Muungano Mwalim Nyerere kwa kutumia Serikali yake Tanganyika alikuwa akiimega Zanzibar kwa kuchukua baadhi ya viungo muhimu vya Serikali ya Zanzibar na kuviingiza kwa ujanja kwenye Muungano huku maskini Wazanzibar wakishindwa kuelewa siri iliopo hadi leo hii tayari Zanzibar imeshatoweka.
Tanganyika ilianza kuimegua Zanzibar kupitia vyombo vya dola,fedha, na pia utaifa kwa kuondosha maksudi hatia ya kusafiria ili Watanganyika waingie Zanzibar kwa urahisi ili wauimarishe ukristo na kuupunguza nguvu uislam jambo ambalo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Historia inaonesha kwamba kabla ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Zanzibar kulikuwa na makanisa machache ambayo yanajulikana na hata waumini wake idadi yao pia ikifahamika lakini leo hii ni tofauti, karibuni uwiano utakuwa sawa kati ya waislamu na wakristo.

Pia idadi ya baa zimeongezeka,ukahaba pia umechukua nafasi yake lengo ni kuona kwamba Wazanzibar wanaacha mila , desturi , silka na utamaduni wao matokeo yao wanajichanganya na kusahau maadili yao.Na hili limekuwa likiendeshwa kwa siri kubwa huku Serikali ya Muungano ikilibeba bango hili bila Wazanzibar kujielewa ni kitu gani kinaendelea. Wazanzibar hawana budi kuielewa mbinu hii, kwamba ni mpango maalum ulioandaliwa kwa muda mrefu na umefanikiwa sana, tuitazeme Zanzibar leo iko wapi ? Pia vibaraka wa Zanzibar wanapewa asali ili waimung'unye kwa maslahi madogo tu ya vyeo, kumbe maskini ndio hivyo wanaimaliza Zanzibar na watu wake, huku wao wakivalishwa rubega shingoni.
 
Hata hayo yote hamuoni kuwa tuliweza kuishi bila udini wakristo na waislamu kuishi pamoja na hata kuoana? hatukuvurugana kama Somalia wana dini moja, kama Rwanda na wana dini moja...

Kwani alichukua Mali Zanzibar mnataka zirudishwe? Angalia Rais Mwinyi alivurunda akajiuzuli na bado akawa Rais wa Tanganyika na Zanzibar, watoto wake woote wamesoma na wameshika Madaraka Makubwa hata zaidi ya watoto wa Nyerere...

Wana Mali nyingi zaidi ya watoto wa Nyerere wanaotegemea BUTIAMA...

Kwanini tusiache hayo ya zamani tugange mapya? Jamani hakuna hata shukrani Moja? au Maisha yenu ni kukosoana ili kushibisha matumbo?
Kijana mwinyi sio mzanzibari,mwinyi kalelewa tu zanzibar ,mwinyi wazee wake wanatokea bara,mwinyi kalelewa zanzibar eneo moja linaitwa mangamwani bubwini,Mwinyi mimi namjua,tena kaowa ndani ya koo yangu au ukoo wangu upande wa mama yangu,mwinyi tumemuozesha mtoto wa kiarabu yule lakini ni mshenzi mkubwa,yeye ndio alieleta maafa zanzibar akishirikiana na dume la nyani mkapa.

Watanganyika wengi wananyo fahamu kuwa mwinyi ni mzanzibari lakini sio kweli,tafuteni cv yake mwinyi mutapata ukweli,sio munaboronga tu,toka kupinduliwa dola huru ya zanzibar na nyerere hajawahi kuwepo kwa rais mzanzibari halisi,wote walikuwa wakikaa urais sio wazanzibari wazaliwa,mwinyi,jumbe,karume.

Karume asili yake ni malawi na ndiko aliko zaliwa,jumbe kwao bara,munakujua wenyewe na mwinyi vile vile,nitawaletea cv ya mwinyi hapa mtandaoni.
 
Hata hayo yote hamuoni kuwa tuliweza kuishi bila udini wakristo na waislamu kuishi pamoja na hata kuoana? hatukuvurugana kama Somalia wana dini moja, kama Rwanda na wana dini moja...

Kwani alichukua Mali Zanzibar mnataka zirudishwe? Angalia Rais Mwinyi alivurunda akajiuzuli na bado akawa Rais wa Tanganyika na Zanzibar, watoto wake woote wamesoma na wameshika Madaraka Makubwa hata zaidi ya watoto wa Nyerere...

Wana Mali nyingi zaidi ya watoto wa Nyerere wanaotegemea BUTIAMA...

Kwanini tusiache hayo ya zamani tugange mapya? Jamani hakuna hata shukrani Moja? au Maisha yenu ni kukosoana ili kushibisha matumbo?
Nakupa sasa CV YA MWINYI

president
Personal Information
Born on May 8, 1925, in Kivure, Tanganyika; raised in Zanzibar (which joined with Tanganyika in 1964 to form Tanzania).
Education: Trained to be a teacher.
Religion: Muslim.
Career
Began professional life as a teacher, became principal at the Zanzibar Teacher Training College. Entered politics in 1963, became permanent secretary to the minister of education in Zanzibar; appointed to the Tanzanian cabinet as minister of state in the president's office,1970; held various government posts in succeeding years, including minister of health and home affairs, 1982-83, and minister of natural resources and tourism, 1982-83; also served as ambassador to Egypt for five years; elected president of Zanzibar and chairman of the Zanzibar Revolutionary Council, 1984; elected vice-chairman of Tanzania's ruling party, CCM, 1984; adopted as the sole presidential candidate by the CCM and elected, 1985; re-elected to a second term in October 1990; became chair of the ruling CCM, 1990.
Life's Work
Tanzania is an East African nation that was formed in 1964 by the union of Tanganyika and Zanzibar, a group of islands off the coast that, under the terms of the union, remains semi-autonomous, electing its own president and legislature. Tanzania's capital, Dar es Salaam, is a port city on the Indian Ocean, and the country shares borders with Kenya to the northeast; Uganda, Rwanda, Burundi, and Zaire to the north and west; and Zambia, Malawi, and Mozambique to the south. Transport routes through Tanzania to its port cities offer central African nations an alternative to transport through South Africa.
Executive powers in Tanzania are vested in a president who is nominated by the sole legal political party, the Revolutionary Party of Tanzania (CCM, Chamo Cha Mapinduzi). The presidential candidate runs unopposed for office and is elected by direct popular vote. Under the most recent constitutional amendments, the presidential term is renewable only once. Since the union of Tanganyika and Zanzibar, Tanzania has had only two presidents. Julius Nyerere, president of Tanganyika since independence in 1961 and then of Tanzania, stepped down in 1985 and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who was re-elected for a second term in 1990.
Mwinyi, a devout Moslem, was born in 1925 on the mainland, but his family moved to the island of Zanzibar when he was very young. He entered politics in 1963, leaving his post as principal of the Zanzibar Teacher Training College to become permanent secretary to the minister of education in Zanzibar. In 1970 he was appointed to the Tanzanian cabinet as minister of state in the president's office. He held various government posts in succeeding years, including minister of health and home affairs (1982-83) and minister of natural resources and tourism (1982-83); he also served as ambassador to Egypt for five years.
In April 1984, Mwinyi was elected president of Zanzibar and chairman of the Zanzibar Revolutionary Council. Later that year he was also elected as vice-chairman of the ruling party, CCM. In May 1984, the National Executive Committee (NEC) of CCM proceeded with proposals to change the constitution, reviving the system of two vice-presidents that had lapsed in 1977. Under this system, the president of Tanzania appoints two vice-presidents, one being the president of Zanzibar and the other the prime minister of the Tanzanian government.
When Mwinyi was elected president of Zanzibar, he also became Nyerere's vice-president. The system of two vice-presidents was adopted, in part, to more precisely define Zanzibar's relationship to the mainland within the union. It was hoped that the system would help put an end to secessionist tendencies in Zanzibar, and the constitutional change also consolidated Mwinyi's political position.
The complete integration of Zanzibar into the mainland was one of Nyerere's primary goals. As president of Zanzibar (1984-85), Mwinyi helped maintain Zanzibar's tenuous link to the mainland at a time when Tanzania's pervasive economic problems caused the islands to question the value of the union. He improved relations with the mainland and succeeded in calming fears that the quasi-autonomy of the islands (Zanzibar and Pemba) was being eroded through constitutional changes.
Mwinyi succeeded Zanzibar's President Jumbe, who was forced to resign to take responsibility for the growth of secessionist sentiments in Zanzibar. Mwinyi had been Jumbe's minister of state and was considered a moderate. He sought to reconcile Zanzibar to the union by introducing economic reforms that allowed market forces a larger role than CCM's socialist policies would normally permit. These reforms generally improved the standard of living in the islands. However, tensions between Zanzibar and the mainland would continue even after Mwinyi had become president of Tanzania.
Mwinyi's moderate political stance--together with circumstance--helped to propel him into Tanzania's presidency. After Nyerere had once again reaffirmed his intention to step down, his heir apparent, Prime Minister Edward Sokoine, was killed in April of 1984. Mwinyi was then appointed to fill the vacancy of vice-president of Tanzania and vice-chairman of the ruling CCM. Mwinyi was elected to the latter post in the August 1984 extraordinary Party National Conference, where he received 96 percent of the delegates' votes and defeated six other candidates.
On August 15, 1985, President Nyerere announced to the special conference of the CCM that Mwinyi would be the sole candidate to succeed him in the October elections. Nyerere introduced him as the party candidate by saying he's "a righteous man, impartial and respectful, [who] has never sought fame or used his position to advance ambition." Commentators regarded Mwinyi as a compromise candidate who was chosen over Salim Ahmed Salim, the prime minister who succeeded Sokoine and who was from Zanzibar, and Rashidi Mfaume Kawawa, the party's secretary-general and a mainlander who was a Nyerere loyalist. Both of these candidates were unacceptable to certain factions within the CCM's executive committee.
Mwinyi and Nyerere together campaigned hard, even though Mwinyi was the sole candidate for president. Nyerere believed it was necessary for the country to rally behind its new president. In the October elections, Mwinyi received 92.2 percent of the votes. His successor as president of Tanzania was Idris Abdul Wakil, who thus also became one of Tanzania's vice-presidents. Interestingly, Wakil only received 61 percent of the votes cast, reflecting his unpopularity with the residents of the island of Pemba.
Since both the new president (Mwinyi) and the prime minister (Salim) were from Zanzibar, the constitution prevented Salim from being prime minister and first-vice president. When he was sworn in as president in November 1985, Mwinyi appointed mainlander Joseph Warioba as prime minister and first vice-president and created the position of deputy prime minister for Salim Salim. The cabinet remained largely unchanged.
Mwinyi faced serious economic problems when he assumed the presidency. The currency was overpriced, and the country's external debt had reached $3 billion. The most basic goods were unavailable in Tanzania's shops. The socialist policies of Nyerere and the CCM, which included widespread nationalization, were generally recognized as unsuccessful. Mwinyi described Tanzania's economic problems of that time by saying that agricultural production was low and farmers could not produce enough food for the country's citizens. The volume of cash crops (tea, coffee, cotton, sisal) was falling each year, resulting in a shortage of foreign exchange. Tanzania was thus forced to import massive amounts of food from abroad at a time when the country had no money to pay for it.
In addition, Tanzania's economic infrastructure had fallen into disrepair: roads had deteriorated, hospitals had no drugs, schools had no books. The external debt was mounting, so Mwinyi sought to reach an agreement with the International Monetary Fund (IMF), with which Tanzania had been negotiating for six years. One of Mwinyi's first actions upon becoming president was to enter into an agreement with the IMF to abandon socialism and remodel the Tanzanian economy along free-market lines. Although opposed by Nyerere and the CCM, the IMF agreement allowed capital to flow, however slowly, into the country.
As a result of the agreement, donor nations agreed to debt rescheduling, and some nations wrote off Tanzania's debts completely. In 1986, the Paris Club, a loosely knit group of Tanzania's donor nations and institutions, agreed to reschedule Tanzania's accumulated matured debts of about $900 million, suspending payment for five years on 97.5 percent of the loan principal and interest. Principal donors agreed to provide $800 million a year for three years to help cover Tanzania's foreign exchange requirements. In 1987, the 21 donor countries and institutions pledged $955 million for 1987 and $978 million for 1988.
As part of the 1986 IMF agreement, Mwinyi introduced a three-year Economic Recovery Plan (ERP) that resulted in IMF approval of a standby loan which was replaced in 1987 by a three-year structural adjustment facility. In a December 31, 1986, speech, Mwinyi said the IMF agreement "did not make us change the principals of our policy of socialism and self-reliance." He acknowledged the bad state of affairs that had necessitated negotiating with the IMF.
The ERP was announced at a time when Tanzanians were lining up for the most basic food commodities. The Economic Recovery Plan involved devaluation of Tanzanian currency, raising of agricultural producer prices, and the removal of corruption from some 400 parastatal companies. Mwinyi closed some of the more inefficient state corporations and returned some factories to private ownership. In 1988, Mwinyi described Tanzania's economy as a "mixed economy," pointing to private enterprise as well as public ownership in the different sectors. Tourism, for example, was both private and public. Mwinyi estimated agricultural production at 80-90 percent private, with all cash and food crops being produced by private individuals. Transport was about 60 percent privately run, and Mwinyi noted that he had expanded the role of the private sector in agricultural distribution, which under Nyerere was done only by parastatal organizations.
The ERP was largely designed by Cleopa Msuya, formerly the prime minister and then the finance minister. In 1987, the CCM showed its opposition to the ERP and the IMF agreement by excluding Msuya from its central committee. To alleviate the effects of the Economic Recovery Plan, under which devaluation made meager wages even more worthless, the minimum wage was increased in 1988, rent assistance was introduced, and income taxes were reduced. Toward the end of 1988, the flow of donor funds into the Tanzanian economy was unblocked, following an IMF agreement, when the government agreed to further devalue the Tanzanian shilling.
The government had been unwilling to further devalue its currency but finally agreed to the IMF's demands. Mwinyi also agreed to reduce public spending and lift import and price controls. He defended the agreement before the CCM as a "lesser evil [between] empty shelves [and] shops full of expensive goods." Commentators noted that Mwinyi had succeeded in bringing basic necessities to the villages, and shops in Dar es Salaam were now filled with local and foreign goods.
Although Mwinyi's pragmatic and liberalizing policies were credited with reviving the Tanzanian economy, he would deny that he reversed the socialist policies of his predecessor. Mwinyi describes the role of the president and the party in Tanzania by saying, "In our country, the party is supreme and the government is only an instrument which implements the party's policies." Mwinyi continued to assert that socialism is a goal for the Tanzanian economy, but he also acknowledged an active private sector in Tanzania's "mixed economy."
In 1989, Mwinyi launched the country's second five-year plan. Its goal was to raise the real growth in gross domestic product (GDP) by 6 percent per year on the mainland and by 4 percent on Zanzibar. While the budget was likely to have a harsh impact on the population, it was regarded by most donors as disappointing. According to the donors, the plan lacked new measures to encourage investment and restructure the produce-marketing boards.
In March 1990, a new investment code was approved by the ruling CCM and went before parliament in April. As part of the liberalization of the economy, it was designed to "entice private and public investors of local and foreign origin to take a more active role in promoting the development of our national economy." As a result of improved foreign relations, Tanzania received foreign aid from the Nordic countries, the United Kingdom, and the United States. Canada wrote off Tanzania's debt entirely.
Mwinyi has also sought to improve relations with Tanzania's neighbors. In 1986, he signed an agreement with Malawi to allow that nation greater access to the port city of Dar es Salaam. In 1987, he reinforced cordial relations with neighboring Mozambique, Zambia, and nearby Zimbabwe. Mwinyi pledged military support to President Chissano of Mozambique in 1986, to guard the railways and fight against what was perceived as South African-supported destabilizing forces. Toward the end of 1988, though, Tanzanian troops were withdrawn from Mozambique. Relations with neighboring Burundi have been strained, with Tanzania expelling thousands of Burundi nationals allegedly living illegally in Tanzania.
Mwinyi gained support for his liberalizing economic policies through a series of cabinet reshuffles, dismissals, and party politicking. Faced with the problem of corruption, he dismissed prominent government administrators. In the middle of his first term, Mwinyi was viewed by some commentators as a transitional president who would be succeeded in 1990 by Joseph Warioba, the prime minister under Nyerere and a dedicated follower of Nyerere and the CCM's socialist policies. In 1987, two cabinet reshuffles resulted in at least three ministers being replaced; they had been regarded as supporters of the traditional party ideology and opposed to Mwinyi's liberalization policies.
At the CCM's third national conference in 1987, Nyerere surprised the 1,800 delegates by announcing he would remain as chairman of CCM, with Mwinyi being renominated as the CCM vice-chairman. In September 1988, Mwinyi strengthened his control over the armed forces by appointing a new chief of general staff, General Ernest Mwita Kiaro, and a new army chief of staff, General Tumainiel Kiwelu. In 1989 Mwinyi created two new ministries and abolished the post of deputy prime minister that had been created for Salim in 1985.
Mwinyi also took over the defense and national service portfolio, sharing responsibilities in this area with Nyerere. In February, the CCM initiated a campaign against corruption in the government, and Mwinyi dismissed seven ministers who had allegedly opposed plans for economic reform and presided over corrupt or irresponsible ministries. This latest reshuffle was seen as a move to secure support for the new investment code, which had reportedly provoked dissent among some socialist ministers.
Mwinyi succeed Nyerere as chair of the CCM in August 1990. In the presidential and general elections set for October 1990, Mwinyi was chosen as the sole candidate for president. Following the elections, Mwinyi appointed a new prime minister, John Malecela, former high commissioner to the United Kingdom. Malecela replaced Joseph Warioba, who had hitherto been considered an eventual successor to Mwinyi.


Read more: Ali Hassan Mwinyi: Biography from Answers.com
 
Ghibuu, unapoamua kudanganya na kupotosha historia ya Zanzibar, basi angalau sema uwongo unaokaribiana na ukweli.

Umedanganya kihusu asilimia ya Waislamu Zanzibar kuwa ni asilimia 100% kwa 100%. Kimahesabu maana yake asilimia ya Wakristo ni 0.00% jambo ambalo si kweli!.

Naomba kukumbusha, hao waarabu unaowashabikia na kuwasujudia, nao ni watu wa kuja tuu huko Zanzibar, Sultan Said Said alitoka zake Oman na kuhashia makazi yake Zanzibar katika karne ya 17. Hapo Zanzibar alipakuta kuna wenyewe ambao ni wenyeji wa asili wa Zanzibar, jee unajua aliwafanya nini?. Unakijua kilicho wakuta?. Unajua ni kwa nini hawatajwi popote?.

Hilo na tuliache. Katika karne ya 18 jee unafahamu Zanzibar ndio ilishamiri kwa biashara ya utumwa?. Jee una taarifa watumwa waliopelekwa nchi za India na nchi za Kiarabu wote walitoka soko la Zanzibar?.

Jee unafahamu watumwa waliopelekwa nchi za Marekani na Ulaya walitoka soko la Afrika Magharibi?,

Unajua kilichowapata watumwa walipelekwa Arabuni na bara Hindi?,

Jee unafahamu baada ya kusimamishwa kwa biashara ya utumwa, watumwa wote waliokuwa sokoni na waliopenda kurejeshwa barani Afrika walirejeshwa?.

Watumwa wa soko la Marekani walirejeshwa nchini Liberia na wale wa Ulaya wakarejeshwa nchini Sierra Leone, jee wale wa soko la Zanzibar walirejeshwa wapi?.

Baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa hata Zanzibar, jee wajua kuwa watumwa waliikwisha nunuliwa ili wawe huru, ilibidi wagombolewe kwa wanunuzi kurudishiwa fedha zao?, Jee wajua waliowagomboa ni kina nani na watumwa waliogombolewa walipelekwa wapi hapo Zanzibar?,

Jee wajua eneo lilipokuwepo soko kuu la watumwa Zanzibar enzi hizo leo pana nini?.

Majibu ya maswali hayo yatapunguza uwongo na utakatifu wa Waarabu unaowasujudia na kwa kwa vile ndio babu na bibi zako upande wa kikeni, then hakika wee uu mmoja wao?,
 
Utafiti wa kitaalamu uliyofanya na wanahistoria bobezi kwenye harakati za siasa za pwani ya Afrika Mashariki wameandika, wametafiti na kuandika sana juu ya Mapinduzi ya Zanzaibar. Hata hivyo kuna nukta kadha wa kadha zinazotatanisha na hazipewi "nguvu" ya akili ya kisomi kwenye kudadavua hoja ya "nani muhusika mkuu" wa mapinduzi yale. Kwa upande mmoja, Mwalimu Nyerere anatajwa sana kuwa ni "mhandisi" wake; na kwa upande mwingine Mwalimu Nyerere anaonekana kama :wakala" wa kufanikisha mapinduzi yenyewe. Kwa utashi wa nani? Na, kwa nini? Haya ni masuala "nyeti" ambayo kwa sehemu kubwa yalishapatiwa majibu kitambo!

Kwa wasomaji makini na wanaofuatilia historia "angavu" ya harakati za siasa za "Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar" wanafahamu kwa nini Mwalimu Nyerere "alimlazimisha" Abeid Karume aingie kwenye "ndoa" iliyoitwa "muungano". Tazama nukta hizi kisha jiulize masuala yenye mchokoo wa kifalsafa na kiutafiti (uchunguzi + mantiki):
  1. Kabla ya mapinduzi, Mv Khaldun (ya Algeria) ilishusha "silaha" Dar es Salaam na iliagwa na Mwalimu Nyerere;
  2. Mara kadha wa kadha "Field Marshal" John Okello alionekana Ikulu ya Dar es Salaam hata kabla ya mapinduzi na baada yake;
  3. Hata Okello alipokosana na Karume alirudishwa Dar es Salaam chini ya "escort" ya POLISI na hata baada yake haikujulikana alipelekwa wapi;
  4. Jina la Tanganyika lilifutwa na nchi ya Tanganyika kuchukua jina la Tanzania Bara huku "Katiba ya Tanganyika" ilifanywa ndio katiba ya muungano;
  5. Mamlaka ya Zanzibar yaliwekwa chini ya "kivuli" cha Tanganyika na kuendeshwa bila ya katiba wakati wote wa Abeid Karume hadi alipouawa na nafasi yake kuchukuliwa na Aboud Jumbe;
  6. Tazama Mwalimu Nyerere alivyomlazimisha Aboud Jumbe kujiuzulu urais wa Zanzibar - tafuta sababu za kina (ilikuwaje na kwa nini?);
  7. Angalia jinsi Mwalimu Nyerere alivyolazimisha kuunganiswa TANU na ASP na kupatikana kwa CCM;
  8. Tazama Mwalimu alivyokuwa "mkali" pale G55 walivyodai "Hoja ya Tanganyika" na hatimaye kulimaliza kisiasa kundi lile; na
  9. Angali (kwa makini) muundo wa uongozi wa kisiasa (na kijeshi) unavyopangwa (kwa stratejia) juu ya nafasi ya Zanzaibar kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Ukitumia "akili" isiyokuwa na "uzezeta" wala "uzimbezimbe" unaweza kupat "mawingu" ya kwa nini Mwalimu Nyerere alikuwa nyuma ya "mapinduzi" ya Zanzibar na kwa nini aliamua kuchukua "nafsi" hiyo! Kama humjui John Okello, tazama picha iliyoambatanishwa na makala haya na ujaribu kutafakari alikuwa nani (na jiulize nani alimlepeleka Zanzibar na kwa nini). Kwa ujumla, Mwalimu Nyerere "alificha" mengi nyuma ya mapinduzi ya Zanzibar na hata "muungano" wenyewe; na siri hizo ndizo zilizokuwa zinamfanya Mwalimu Nyerere kuwa "mkali" na hata kutotamani wananchi wa Tanganyika na Zanzibar kuhoji juu yake! Je, "siri" inaweza kuwa siri hadi mwisho wa "dahari"..tusubiri na tuone kama Tanganyika ya "wadanganyika" na Zanzibar ya "wazanzibara" hawataanika "yaliyofichwa" na kuhifadhiwa na Marehemu Thabit Kombo Jecha na hatimaye kumponza Maalimu Seif Sharif Hamad hadi kufukuzwa CCM na wenzake akina Shaaban Mloo, nk....MUDA UTATUPA MAJIBU!
 
Back
Top Bottom