johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani .
Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu muhimu ni kukagua ukweli wa hizo taarifa na ama kupitia taarifa hizo mgombea anaweza kuonekana hana sifa kwa mfano mtu aliyetoka jela kwa kosa la jinai/rushwa hivi karibuni.
Hadi sasa ni pingamizi la Njombe mjini pekee ndio lina "adabu" na limekaa kisomi. Kujaza fomu siyo mtihani.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!