Uchaguzi 2020 Mapingamizi ya Tundu Lissu yalikaa kienyeji sana yalijikita kwenye ujazaji wa fomu badala ya kilichojazwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani .

Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu muhimu ni kukagua ukweli wa hizo taarifa na ama kupitia taarifa hizo mgombea anaweza kuonekana hana sifa kwa mfano mtu aliyetoka jela kwa kosa la jinai/rushwa hivi karibuni.

Hadi sasa ni pingamizi la Njombe mjini pekee ndio lina "adabu" na limekaa kisomi. Kujaza fomu siyo mtihani.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa kifungu gani cha sheria?,kweli hii nchi hamna kitu
 
Hayo mapingamizi angekua kawekewa Tundu Lissu au Bernad Membe, basi wangetolewa kwenye ugombeaji tena kwa vijembe na kejeli vya 4G.

Ni wazi form zimekosewa na zinamapungufu. Ila kama Tundu Lissu atakata rufaa mahakamani, basi Magufuli anaweza akaondolewa kwenye mchakato wa kugombea.
 
Hebu weka hapa majibu ya Mgombea wa CCM dhidi ya mapingamizi husika kama sheria ya uchaguzi inavyotaka.

Cha msingi CCM shukuruni sana Tume imemuepusha mgombea wenu kukutana uso kwa uso na Lissu maana guiltiness ingeweza kumpa pressure ya macho ashindwe hata kusoma hiyo form.
 
Bwashee, kuna idadi kubwa ya wapinzani wameenguliwa kwa makosa hayo madogo madogo! Wewe na wana-ccm we zake mnawatukana kina Devotha Minja, lakini wa kwenu mnatetea! Kunya anye Kuku....
 
Hivi unaijua fom A9 ilivyo? au unaongea utumbo tu
 
Hebu weka hapa majibu ya Mgombea wa CCM dhidi ya mapingamizi husika kama sheria ya uchaguzi inavyotaka.

Cha msingi CCM shukuruni sana Tume imemuepusha mgombea wenu kukutana uso kwa uso na Lissu maana guiltiness ingeweza kumpa pressure ya macho ashindwe hata kusoma hiyo form.
Sasa NEC wangemwitaje JPM na Magufuli waje kujibu kitu ambacho wao wenyewe kwa mujibu wa sheria zao wameona ni ujinga na upumbavu?
 
Nec wanajua Mheshimiwa Pombe angejitafuna kwenye kujibu hoja za Lissu ndiyo maana wamemuepusha na kikombe hicho.
 
Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama wangeangalia kilichojazwa na si kimejazwa vipi unadhani yale mauzauza yangetokea?

Tusiwe wepesi wa kusahau mambo, pale jambo linapokufaidisha ww lina maana jambo hilo hilo endapo pia litamfaidisha na mwingine linakuwa halina maana.

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Ingelikuwa kwa Tundu Lissu ameongeza hata nukta (.) leo hii CHADEMA isingelikuwa na mgombea• Ila kwa kuwa ni tume haramu ya ccm imeshindwa kutoa maamuzi halili
 
Ingelikuwa kwa Tundu Lissu ameongeza hata nukta (.) leo hii CHADEMA isingelikuwa na mgombea• Ila kwa kuwa ni tume haramu ya ccm imeshindwa kutoa maamuzi halili
 
Ingelikuwa kwa Tundu Lissu ameongeza hata nukta (.) leo hii CHADEMA isingelikuwa na mgombea• Ila kwa kuwa ni tume haramu ya ccm imeshindwa kutoa maamuzi halili
 
Hayo mapingamizi angekua kawekewa Tundu Lissu au Bernad Membe, basi wangetolewa kwenye ugombeaji tena kwa vijembe na kejeli vya 4G.

Ni wazi form zimekosewa na zinamapungufu. Ila kama Tundu Lissu atakata rufaa mahakamani, basi Magufuli anaweza akaondolewa kwenye mchakato wa kugombea.
du mnamawaz mgando kweli nyie nyumbu kweli jpm aondolewe? never on the earth
 
Unapoweka picha ambayo haikidhi vigezo vinavyotakiwa maana yake wewe hufai kuwa kiongozi na una walakini kichwani, uwezo wa maamuzi yako ni mdogo.
 
Hayo mapingamizi angekua kawekewa Tundu Lissu au Bernad Membe, basi wangetolewa kwenye ugombeaji tena kwa vijembe na kejeli vya 4G.

Ni wazi form zimekosewa na zinamapungufu. Ila kama Tundu Lissu atakata rufaa mahakamani, basi Magufuli anaweza akaondolewa kwenye mchakato wa kugombea.
Subutu
 
Weka link ya video ya pingamizi tulipitie kwanza
 
Bwashee, kuna idadi kubwa ya wapinzani wameenguliwa kwa makosa hayo madogo madogo! Wewe na wana-ccm we zake mnawatukana kina Devotha Minja, lakini wa kwenu mnatetea! Kunya anye Kuku....
Tundu Lissu na usomi wake aliweka pingamizi kuwa fomu ya mgombea wa Ccm haina picha na haikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria. Je hii inaingia akilini kweli!
 
Back
Top Bottom