johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa NEC wangemwitaje JPM na Magufuli waje kujibu kitu ambacho wao wenyewe kwa mujibu wa sheria zao wameona ni ujinga na upumbavu?Hebu weka hapa majibu ya Mgombea wa CCM dhidi ya mapingamizi husika kama sheria ya uchaguzi inavyotaka.
Cha msingi CCM shukuruni sana Tume imemuepusha mgombea wenu kukutana uso kwa uso na Lissu maana guiltiness ingeweza kumpa pressure ya macho ashindwe hata kusoma hiyo form.
Nec wanajua Mheshimiwa Pombe angejitafuna kwenye kujibu hoja za Lissu ndiyo maana wamemuepusha na kikombe hicho.Sasa NEC wangemwitaje JPM na Magufuli waje kujibu kitu ambacho wao wenyewe kwa mujibu wa sheria zao wameona ni ujinga na upumbavu?
du mnamawaz mgando kweli nyie nyumbu kweli jpm aondolewe? never on the earthHayo mapingamizi angekua kawekewa Tundu Lissu au Bernad Membe, basi wangetolewa kwenye ugombeaji tena kwa vijembe na kejeli vya 4G.
Ni wazi form zimekosewa na zinamapungufu. Ila kama Tundu Lissu atakata rufaa mahakamani, basi Magufuli anaweza akaondolewa kwenye mchakato wa kugombea.
Hoja zipi?Nec wanajua Mheshimiwa Pombe angejitafuna kwenye kujibu hoja za Lissu ndiyo maana wamemuepusha na kikombe hicho.
SubutuHayo mapingamizi angekua kawekewa Tundu Lissu au Bernad Membe, basi wangetolewa kwenye ugombeaji tena kwa vijembe na kejeli vya 4G.
Ni wazi form zimekosewa na zinamapungufu. Ila kama Tundu Lissu atakata rufaa mahakamani, basi Magufuli anaweza akaondolewa kwenye mchakato wa kugombea.
Tundu Lissu na usomi wake aliweka pingamizi kuwa fomu ya mgombea wa Ccm haina picha na haikuwakilishwa kwa mujibu wa sheria. Je hii inaingia akilini kweli!Bwashee, kuna idadi kubwa ya wapinzani wameenguliwa kwa makosa hayo madogo madogo! Wewe na wana-ccm we zake mnawatukana kina Devotha Minja, lakini wa kwenu mnatetea! Kunya anye Kuku....