Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Naheshimu Uwezo Wake Na Ngoma Zake Kama Proffesional,Propaganda,Usinikubali Haraka Pia Ile album yake Ya KITAALOJIA Naikubali Sana,Lakini Huu Uzi Unahusu Hip Hop World WideBila ngoma ya Fid Q uzi ni batili
Shukran kwa correction Mkuu Nimerekebisha.Calfonia Love, ni 2Pac na Dr. Dre. Huyo Puff Dady hapo wakikusikia wenyewe hapo watakushitaki. Jokes. 😊
Rejea vizuri mkuu Imo Ruffy RiderKama katika hii list yote hayupo DMX, kwa album au nyimbo. Basi hujatenda haki. 😊
Mkuu,Nick Minaj Debut Single Yake Na Album Yake Cash money Records Ilikua 2010.Lil wayne-you ain't know
Lakini kwa heshima please list awepo mwanamama nick minaj
Ni Ngoma kali Mkuu Na ilistahili kuwepo Ila kwenye List Nimemtumia Neno Baadhi kwa Maana Kuna Ngoma kali zingine ikiwemo hii ya LudacrisUnaachaje hii ngoma mkuu.
Move bitch, get out the way
Get out the way bitch, get out the way
Move bitch, get out the way
Get out the way bitch, get out the way
By Luda cris.
Umesahau wimbo Mmoja mkali Sana wa Jay Z ft. Kanye West - No Church in WildHip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Kanye West na Timbaland.
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana
Hapa sasa nmekupataMkuu,Nick Minaj Debut Single Yake Na Album Yake Cash money Records Ilikua 2010.
List Yangu Hapo Juu Nilizangatia zaidi kuanzia 1995 mpaka 2009 Ndio Maana nilitumia neno Na baadae Kina Nick Minaj kwasababu huwezi Taja list yoyote Ya Hip Hop ukaacha kumtaja.
Sema Producer Wa Zamani walikua Ni wakali Sana Midundo yao ni Masterpiece ni kama imetoka leo tu wakati ni ya miaka kibaoHatar sana kama upo na vifaa vya sony sound apo panya wanakimbia au kama una mashine kali kwenye gari
Naam mkuu Ndio Maana nilitumia neno Baadhi Maana kuna zingine nilisahau kuzitaja na zingine sikubahatikaga kuzisikia au kuzijuaUmesahau wimbo Mmoja mkali Sana wa Jay Z ft. Kanye West - No Church in Wild
Rejea vizuri mkuu Imo Ruffy Rider
Shukran kwa correction Mkuu Nimerekebisha.