D
DeletedMember281674
Guest
Naam mkuu Ndio Maana nilitumia neno Baadhi Maana kuna zingine nilisahau kuzitaja na zingine sikubahatikaga kuzisikia au kuzijua
Sawa Mkuu
Naam mkuu Ndio Maana nilitumia neno Baadhi Maana kuna zingine nilisahau kuzitaja na zingine sikubahatikaga kuzisikia au kuzijua
Pamoja MkuuNimeicheki. Poa mkuu
Naam mkuu Sikuweza kuzikumbuka zote kwa Wakati Kuna ile Fat Joe Ft Ashanti - Whats Luv,Na Ile Na lily wayne - Make it Rain,Na Ile ya Majuzi juzi Na Remy Ma - All Way UpIla umemsahau fat jo,rick ross kwenye list yako
Hip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Kanye West na Timbaland.
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Fat Joe,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Ludacris Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana,Ongezea na Wewe Ngoma Zako Hapo Chini ambazo Nimesahau kuzitaja Tuendelee kuenjoy Mziki Mzuri
Bila kusahau Aston Martin ya Rick RossBrother Rick Ross umemsahau, Mwamba kabisa wa misimu yote ana nyimbo zinazoishi hadi kesho, mfano wa nyimbo hizo ni pamoja ni Devil in a New Dress, I am Boss, Hustling na Stay Scheming
Hip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Kanye West na Timbaland.
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Fat Joe,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Ludacris Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana,Ongezea na Wewe Ngoma Zako Hapo Chini ambazo Nimesahau kuzitaja Tuendelee kuenjoy Mziki Mzuri
Mkuu Japo Baadhi Ya NYimbo za Rick Ross Zilifanya Vizuri Ikiwemo Hustlin Ya Rick Ross iliobamba 2006 ila Rick Ross amekua Famous Zaidi 2010'S Na Mimi Nilizingatia Zaidi 1995 Mpaka 2009.Brother Rick Ross umemsahau, Mwamba kabisa wa misimu yote ana nyimbo zinazoishi hadi kesho, mfano wa nyimbo hizo ni pamoja ni Devil in a New Dress, I am Boss, Hustling na Stay Scheming
😂😂😂Ukisikiliza izo ngoma unaweza pata mzuka wakufanya jambo lolote liwe baya au zuri uwe sehemu ya starehe au mishe ngumu ata ukiwa kwenye mizagamuano SASA JICHANGANYE USIKILIZE SINGELI asee unaona kabisa dalili yakua kichaa maana uchezaji wake nikama mtu anaetetemeka kwa degedege
List haina akina Warren G Mc Lyte atakuwa Gen Z huyu 😁Nasikitika sana umewezaje kuweka list ya ngoma kali za hip hop za kitambo ambamo yumo bow wow, maino na lil wayne ila inakosa ngoma hata moja ya Lost Boyz.
Ni Ngumu Kumtaja Warren G Kwasababu Alikua Ndani Ya Kivuli Cha The Dogg Pound,Ndo Maana Nimeenda Na Snoop Dogg.List haina akina Warren G Mc Lyte atakuwa Gen Z huyu 😁
Naam Mkuu Huwezi Kumbuka Ngoma zote Wakati Unaandika UziMtoa mada amesema bahadhi..unaweza kuongeza hawezi kukumbuka zote lakini angalia miaka aliyoweka
Nick hata uzuri tu hajamzidi Lyte 😁 anyways ni kama mapenzi uzuri upo machoni kwa anaye pendaNi Ngumu Kumtaja Warren G Kwasababu Alikua Ndani Ya Kivuli Cha The Dogg Pound,Ndo Maana Nimeenda Na Snoop Dogg.
Kuhusu MC Lyte Kiukweli Sjawahi Muelewa Ngoma Zake Hua naskia ni makelele tu Na Nikiambiwa Ni pick Kati Ya Mc Lyte na nick Minaj Ntaenda Na Nick Bila kupepesa Macho😂
Mkuu Nisingeweza Kumbuka zote Ila kwa Upande Wa Lost Boyz Nazikubali Sana Me and my Crazy World na Ile On the Top of The WorldNasikitika sana umewezaje kuweka list ya ngoma kali za hip hop za kitambo ambamo yumo bow wow, maino na lil wayne ila inakosa ngoma hata moja ya Lost Boyz.
Mkuu Nimeiweka Ipo Rejea Vizuri,Ila Hii ilikua Funga Kazi Ni Pini kweli kweli"Dilemma" wa Nelly akiwa na Kelly Rowland* wa 2002,
Mkuu Mc Lyte Hasogei kwa Chochote kwa Nick Kuanzia Mistari,Flowz,Swaggz,Uzuri Mpaka Makebo 😂😂😂Nick hata uzuri tu hajamzidi Lyte 😁 anyways ni kama mapenzi uzuri upo machoni kwa anaye penda