Mkuu ndio maana nikasema Jay Z kuwa GOAT wa hiphop ni debatable,... Lakini Jay Z kuwa miongoni mwa GOAT wa hiphop hilo suala liko wazi wala halihitaji mjadala dunia nzima inajua... Mkuu wakitajwa GOAT watano wa hiphop list asilimia 90 inakua Tupak, Notorious Big, Jay Z, Nas na Eminem, nenda kwenye site yoyote mara nyingi sana list inakua ndio hio...
Jay z kuwa one of the GOAT wa hiphop hio ni more than obvious LAKINI Jay z kuwa hiphop GOAT hilo suala ni mjadala... Mimi binafsi naona Greater of all time ni Jay Z na wewe pia unaweza ukamtaja mwingine na mashabiki wengine pia wakataja machaguo yao..Huwa namkubali sana Tupak lakini hakuwa na longevity kwenye game so ana tracks kali chache kwa sababu alikufa mapema lakini Jay Z ana mapini mengi sana kwa sababu amefanya muziki muda mrefu sana.
Ni kama kwenye football, GOAT wanne wa football in most cases list inakua ni Pele, Maradona, Messi na Ronaldo, sio mara zote lakini 90 percent list inazunguka hapo... Lakini GOAT wa football mimi naona ni Messi, wengine wanaona ni Ronaldo, Pele na wengine wanaona ni Maradona. Kwa hiyo na hapo hilo suala limekua ni debate pia.