BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Until the end of time na do for love by maniga pac zilikuwa ngoma zangu pendwa!
Sawa MkuuMkuu Japo Baadhi Ya NYimbo za Rick Ross Zilifanya Vizuri Ikiwemo Hustlin Ya Rick Ross iliobamba 2006 ila Rick Ross amekua Famous Zaidi 2010'S Na Mimi Nilizingatia Zaidi 1995 Mpaka 2009.
Mkuu Eminem kwenye Kibao chake cha I'm Not Afraid, views kwenye YouTube Peke yake ni 3bilion.Hip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Swizz Beatz,Timbaland Na Kanye West
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Fat Joe,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Ludacris Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana,Ongezea na Wewe Ngoma Zako Hapo Chini ambazo Nimesahau kuzitaja Tuendelee kuenjoy Mziki Mzuri
Wewe jamaa MURDER INC walikukosea Nini???Hip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Swizz Beatz,Timbaland Na Kanye West
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Fat Joe,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Ludacris Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana,Ongezea na Wewe Ngoma Zako Hapo Chini ambazo Nimesahau kuzitaja Tuendelee kuenjoy Mziki Mzuri
The Firm Baby - Affirmative Action.Hip Hop Ilipitia Nyakati Bora Duniani kuanzia 1995 Mpaka 2009 Hapa Ilikua Mawe Juu Ya mawe Huku Maproducer Wakali Kule Watunga mashairi na Wachanaji Wakali ilikua moto Sana.
Baadhi Ya Producer Wakali Wa Era Hiyo Ni Dr Dre,Swizz Beatz,Timbaland Na Kanye West
Baadhi Ya Wasanii Wakali Wa Era Bora ya Hip Hop Ni
2Pac,Notorius BIG,DMX,Ja Rule,Lil Cool J,Puff Daddy,Coolio,Fat Joe,Nelly,Snoop Doggy,50 Cent,Eminem,Busta Rhymes,Jay Z,Kanye west,Nas,Kendrick Lamar,Bow Wow,Lily Wayne,Ludacris Na Baadae Kina Nick minaj
BAADHI YA ALBUM KALI ZILIZOTOKA ERA HIYO
1. 2pac - ALL EYEZ ON ME
2. Notorious BIG - LIFE AFTER DEATH
3.Eminem - THE MARSHALL MATHERS LP
4.Outkast - THE SPEAKER BOXXX/THE LOVE BELOW
5. 50 Cent - GET RICH OR DIE TRYIN
BAADHI YA MAPINI MAKALI YA ERA HIYO/MUDA WOTE
1. 2Pac Ft DR Dre&Roger Troutman - Califonia love
2.Busta Rhymes Ft Mariah Carey - Give to me
3.Nas - I Can
4.Bow Wow Ft Mike Jones - Fresh Iz Im
5.Jay Z Ft Mr Hudson - Forever Young
6. 50 Cent - In da Club
7.Nelly Ft Kelly Rowland - Dillema
8.Bow Wow - Thats Is my Name
9.Ja rule Ft Ashanti - Always on Time
10. 50 Cent Ft Olivia - Candy Shop
11.Ll Cool J - Doin it
12.Kanye West - Heartless
13.Mystikal - Danger
14.Nas Ft Puff Dady - Hate me Now
15. 50 Cent - P.I.M.P
16.TI Ft Keri Hilson - Get You Back
17.Coolio - Gangster Paradise
18.Lily Wayne - A mill
19.Eminem - Lose Yourself
20.Kanye West Ft Jamie Foxx - Gold Digger
21.Maino Ft T Pain - All the Above
22.DMX - Ruffy Rider
23.Jay Z - Hard Knock Life/Ghetto Anthem
24.Nelly - Just A Dream
25.Young Jeezy Ft Nas - My President
26.Wutang Clan - C.R.E.A.M
27..Jay Z - F*ck Up The World/Futw
Ilikua Ni Hatari Sana,Ongezea na Wewe Ngoma Zako Hapo Chini ambazo Nimesahau kuzitaja Tuendelee kuenjoy Mziki Mzuri
Hahahaa Mtu akikuona unacheza singeli kwa mbali anajua Yule kichaaUkisikiliza izo ngoma unaweza pata mzuka wakufanya jambo lolote liwe baya au zuri uwe sehemu ya starehe au mishe ngumu ata ukiwa kwenye mizagamuano SASA JICHANGANYE USIKILIZE SINGELI asee unaona kabisa dalili yakua kichaa maana uchezaji wake nikama mtu anaetetemeka kwa degedege
Ipo mkuu Rejea vyemaNAS - Hate me now
Naam Mkuu Ni Mawe HaswaThe Firm Baby - Affirmative Action.
Hate Me Now - Nas
Notorios B.I.G - Big Poppa
Mobb Deep - Hell on earth/Shook Ones
Eve - What ya want
DMX - What they real want(What B!T<#e$ what from my Nikka)
Coolio - C U when U get there
Dr Dre - keep their heads ringing
Luniz - i got 5 on it
Queen Latifah - Weekend Luv
Timua Vumbi timua,Cheza kama kambare,Haya Kata majani😂😂😂 ila singeliHahahaa Mtu akikuona unacheza singeli kwa mbali anajua Yule kichaa
😂😂Timua Vumbi timua,Cheza kama kambare,Haya Kata majani😂😂😂 ila singeli
Pac Ana mapini Mengi Ila kwangu Binafsi Kwenye California Love,Dear Mama,Na Ghetto Gospel Huniambii kitu Nazikubali kinyamaUntil the end of time na do for love by maniga pac zilikuwa ngoma zangu pendwa!
Hatari Sana mkuu,Sema ndio Genre Ya Vijana Wa Sasa Hapo Huwaambii kitu
Mkuu Pini la Ja rule na Ashanti - Always On time Nimelitaja Rejea Vyema.Wewe jamaa MURDER INC walikukosea Nini???
Yaani hayupo Ja Rule hayupo Ashanti???
Yaani hata Fabulous pia hayumo hebu nenda kacheki Jimbo la Fabulous Ft. Tania - INTO YOU
Kuna ule mkwaju wake unaitwa ni hayo tu wamoto mnoBila ngoma ya Fid Q uzi ni batili
Halafu kuna lean back. Fat joe hajawahi kualibuNaam mkuu Sikuweza kuzikumbuka zote kwa Wakati Kuna ile Fat Joe Ft Ashanti - Whats Luv,Na Ile Na lily wayne - Make it Rain,Na Ile ya Majuzi juzi Na Remy Ma - All Way Up