Mapini makali ya muda wote ya Hip Hop ilikuwa ni mwendo wa kutikisa vichwa tu

Mapini makali ya muda wote ya Hip Hop ilikuwa ni mwendo wa kutikisa vichwa tu

Kama ambavyo vijana wa 70's, 60's waliiona hip-hop ni uhuni mziki ulikuwa ni wa Kipindi Chao ndivyo hivyo hivyo na wewe umefikia hiyo hatua. Kwa ufupi, Unazeeka mkuu.
 
Uzi makini huu. Wakuu huwa nashindwa kabisa kuelewa DRAKE anavyotajwa kuwa rapa bora hadi kwenye top ten anawekwa...!! Kiukweli mimi huwa naona kama anaimba zaidi.
 
Dre & Snoop Dog STILL
Still puffing my leafs
Still *** with the beats, still not loving police
Still rock my khakis with a cuff and a crease
 
Back
Top Bottom