Kweli mkuu umelenga mulemule, mi pia binafsi nyakati za mwisho ku-enjoy hiphop ilikua 2009, nakumbuka by that time ndo niliingia mwaka wa kwanza pale udsm, ndo mwaka Jay Z alitoa Album ya moto ikijulikana kama The Blueprint 3... Ile album ilikua na ngoma za moto nilikua nazi-play zile ngoma mpaka nasahau kwenda lecture nusura nidisco...
Ile album ilikua na ngoma zote za moto kama Empire State of mind, Run this town, D.O.A ( Death of Auto-tune), On to the next one, Young forever... ilikua ni mwendo wa kuzi-replay zile ngoma mpaka raha.. Umo ndani Jay Z ametembeza flows mpaka unajiuliza huyu jamaa anatoa wapi hizo flows... Check ligoma kama Empire State of mind lile beat limenyongwa na Jigga anaruka nalo vibaya..