Mapishi ya Chapati: Jikoni kwa Evelyn Salt & Mentor

Mi chapati ntajitahidi aisee ,,kila nikipika lazima zitoke ngumu sasa sijui kama Evelyn Salt nae ashajua kupika chapati za kusukuma
Sorry sikupata notification
ulaini wa chapati ni kukanda tu...
yani usiwe mvivu kukanda unga, kanda kwa muda mrefu ulainike vizuri
hata hivo sisi wasukuma vitu vigumu ndo vyetu ha ha ha
 
ulaini wa chapati ni kukanda tu...
yani usiwe mvivu kukanda unga, kanda kwa muda mrefu ulainike vizuri
hata hivo sisi wasukuma vitu vigumu ndo vyetu ha ha ha
Mbona wengine hukanda kidogo tu na chapati zinakuwa laini,,we ushajua kupika??
 
Jaman..wife anahtaji kujua namna yaKuandaa Chapati za Kuskuma.

Hatua zipi za Uandaaji na namna ya kupika pia..

Ahsanteni: nawasilisha.
 
Huyo ni wa kuchapa makofi inamana hakufundwa na mama ake kupika chapati!!! Pumbaf
 
Ukitaka chapati ziwe laini basi unga{ngano} yako ikande kwa kutumia samli.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
and then..
Ok, nikupe maelekezo marefu: wakati wakuandaa ngano yako, ikande kwa kutumia samli, then andaa matonge ya unga kulingana na chapati unazotaka kutoa, then wakati kabla ya kuchoma unachukua tonge lako unaweka kwenye kibao na kusukuma vizuri kutengeza shape ya mviringo, ule mviringo wako unauchukua na kutengeza kitu kama uzi, na hapo then unachukua ule uzi na kutengeza kitu kama mviringo ambao ndio utaweka kwenye kibao na kuusukuma. Hapo sasa baada ya kuusukuma sasa ndio unaweka kwenye chuma kwa sjili ya kuchoma, choma kwa mafuta kawaida.
Kwa process hii lazima utoe chapati laini na kama inanyambuka hivi. Ni long process but ni nzuri na hutoa majibu mazuri pia.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kuna uzi niliwahi kusoma hapa ulisema maji ya kukandia yawe ya baridi kiasi ndio chapati zinakuwa laini... hongera kwa mapishi
best kumbe nilishanyang'anywa mume muda mrefu aiseee kweli ndo naona leo duuuu rafiki wa karibu kanipo😉😉
 
Mwaka jana 2017 nilitembelea Mwanza. Nilikutana na chapati tamu nzuri laini. Kuna mgahawa mmoja sehemu za Posta karibu na ziwani.
Ukipiga na supu ya samaki. Duuuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…