Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulaini wa chapati ni kukanda tu...Mi chapati ntajitahidi aisee ,,kila nikipika lazima zitoke ngumu sasa sijui kama Evelyn Salt nae ashajua kupika chapati za kusukuma
Sorry sikupata notification
Mbona wengine hukanda kidogo tu na chapati zinakuwa laini,,we ushajua kupika??ulaini wa chapati ni kukanda tu...
yani usiwe mvivu kukanda unga, kanda kwa muda mrefu ulainike vizuri
hata hivo sisi wasukuma vitu vigumu ndo vyetu ha ha ha
eeeh mama mie senior expert wa chapati lolMbona wengine hukanda kidogo tu na chapati zinakuwa laini,,we ushajua kupika??
Tupia picha ya mkono wako.eeeh mama mie senior expert wa chapati lol
huo hapo kwa profileTupia picha ya mkono wako.
and then..Ukitaka chapati ziwe laini basi unga{ngano} yako ikande kwa kutumia samli.
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Ok, nikupe maelekezo marefu: wakati wakuandaa ngano yako, ikande kwa kutumia samli, then andaa matonge ya unga kulingana na chapati unazotaka kutoa, then wakati kabla ya kuchoma unachukua tonge lako unaweka kwenye kibao na kusukuma vizuri kutengeza shape ya mviringo, ule mviringo wako unauchukua na kutengeza kitu kama uzi, na hapo then unachukua ule uzi na kutengeza kitu kama mviringo ambao ndio utaweka kwenye kibao na kuusukuma. Hapo sasa baada ya kuusukuma sasa ndio unaweka kwenye chuma kwa sjili ya kuchoma, choma kwa mafuta kawaida.and then..
best kumbe nilishanyang'anywa mume muda mrefu aiseee kweli ndo naona leo duuuu rafiki wa karibu kanipo😉😉Kuna uzi niliwahi kusoma hapa ulisema maji ya kukandia yawe ya baridi kiasi ndio chapati zinakuwa laini... hongera kwa mapishi