Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Lazima tu kuna mabaki ya maganda yatabaki na huwa yanajisokota mi nikiona maganda ya nyanya yalivyojisokota kwenye chakula huwa yananikera kichizi naanza kuchambua moja moja kuweka pembeniUkiona maganda ujue amekosea kuunga mboga.
Mafuta yakipashwa joto vizuri na kuwa ya moto huoni maganda, maganda huungua kwenye mafuta na kutoa rangi nyekundu ambayo ndio mchuzi