Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pika weekend hii.Japo Nazi sasa ni ghali kidogo sijajua kwa huko uliko(Mwanza)kama Niko sahihi.Nazi ikolee dada Mchele kg moja Nazi mbili kubwa.🏃🏃Sijawahi kwakweli sijui likoje, nitalitafuta.
Naomba nijitolee kukupikia siku moja mkuu...Hapo mimi samaki na dagaa tu, Maharage ya Nazi sijawahi yaelewa.
Sijawahigi yaelewa kabisa.. Wali + Nazi yenyewe naonaga hamna kituNaomba nijitolee kukupikia siku moja mkuu...
Pilau la Dengu. Ni msukuma tu au aliekulia usukumani ndio anaweza kula lile pishi.Hadi pilau nazi??? Sijawahi kula hilo.....
Wasukuma hatukubali, week ijayo napika pilau la karanga
Mwanamke wa mithali 31
Umenikumbusha dengu na wali sijala kitamboPilau la Dengu. Ni msukuma tu au aliekulia usukumani ndio anaweza kula lile pishi.
Mafuta ya samli. Kama hujakulia kwa wafugaji sijui kama utayaweza.
😁😁🤣🤣🤣Hadi pilau nazi??? Sijawahi kula hilo.....
Wasukuma hatukubali, week ijayo napika pilau la karanga
Mwanamke wa mithali 31
Ukweli mtupuUmezaliwa mkoa wa mara nini? Wale jamaa hawana mbwembwe kwenye mapishi hata samaki huwa hawaoshi vizuri wanachemsha na nyanya nzima na maganda yake ukimaliza kula unanuka shombo ya samaki hata wiki 3