Mapishi ya nazi ni overrated sana kwa vyakula vingi

Mapishi ya nazi ni overrated sana kwa vyakula vingi

Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana.

Sijui ni nini hasa huwa kinawafanya watu watokwe na udenda au kusifia sana wali nazi, nyama nazi, bamia nazi, kisamvu nazi, tambi nazi, pilau nazi, n.k
Vyutia!!?
 
Hata wali nazi huujui? Wali ndizi ulioungwa nazi? We kweli bado mtoto mdogo walahi
huyu mwenzetu pishi la nazi anapenda sana ila mkewe inaonekana hayuko vizuri sekta ya mapishi ya nazi analipua tu alimradi ndohivi jamaa yetu amedata basi ndo amekuja kututolea kisirani sisi humu kisa mkewe anamtolea boko anataka kujifariji tu
 
Umezaliwa mkoa wa mara nini? Wale jamaa hawana mbwembwe kwenye mapishi hata samaki huwa hawaoshi vizuri wanachemsha na nyanya nzima na maganda yake ukimaliza kula unanuka shombo ya samaki hata wiki 3
Ahahah...hujakosea mkuu. Hata utumbo wa ng'pmbea au mbuzi/kondoo hausafishwi vizuri. Eti ukisafishwa kadha inapotea.
 
Katika vitu ninavyoteseka navyo nikienda mikoa ya bara ni kupata sehemu ya kula inayouza chakula chenye ladha!
 
Hebu vua nguo zote mpikie Mumeo chakula kisha mpelekee sebuleni huku unamwangalia usoni na kumchekea uone kama hajaacha kula popote anapokulaga....hebu jiongeze Mwanamke
Duh mnafaidi wenye nyumba zenu zenye nafasi na uzio
Sie sasa wa kupanga kupika ni kwenye korido halafu mpo kibao na watoto kadhaa
 
Nadhani imekaa kiurithi wa kitamaduni zaidi..
1. Mimi mawese mekundu nasikia harufu muda wote! Kigoma na makabila ya huko kwao ni murua
2. Mimi chakula kilichopikiwa tui ya karanga siwezi gusa kabisa!
3. Olive oil sijawahi ielewa!
4. Cheese and butter ni uchafu
5. Kuunga maziwa kwenye chakula chochote ni wendawazimu!
6. Nazi naikubali kwenye mboga za majani na ubwabwa tu!
Usichokijua huitwa ujinga.

Ukifundishwa na ukashindwa kukijua ni upumbaf.

Hata siku moja chakula wanachokula wenzako na kukifurahia usijesema ni takataka!

Vyakula ni tamaduni za watu, kusema takataka ni kutusi tamaduni za watu kwa kukusudia ama bila kukusudia.

Chakula chochote ukiona mtu anakula, kiite kizuri kwa sababu kinaimarisha siha ya mlaji.

Wadhani hizo mbwembwe za chakula cha nazi, kila mtu anakipendelea?

Kwa taarifa yako, ujue kuna watu wakisikia harufu ya nazi katika chakula wanatapika, sababu hawajakulia na kuzoea utamaduni wa mapishi hayo.

Lakini hawezi kusema ni takataka huku wakiona watu wengine wanakitumia na kustirika nacho.
 
Kisamvu cha nazi na ugali na dagaa mchele kwa pembeni. Au kisamvu cha nazi na ubwabwa kiporo unaweza maliza sinia
 
Hebu vua nguo zote mpikie Mumeo chakula kisha mpelekee sebuleni huku unamwangalia usoni na kumchekea uone kama hajaacha kula popote anapokulaga....hebu jiongeze Mwanamke
Nimeielewa hii
 
Back
Top Bottom