Lazima tu kuna mabaki ya maganda yatabaki na huwa yanajisokota mi nikiona maganda ya nyanya yalivyojisokota kwenye chakula huwa yananikera kichizi naanza kuchambua moja moja kuweka pembeniUkiona maganda ujue amekosea kuunga mboga.
Mafuta yakipashwa joto vizuri na kuwa ya moto huoni maganda, maganda huungua kwenye mafuta na kutoa rangi nyekundu ambayo ndio mchuzi
Hivi uko serious? Au unataka nimalizie weekend yangu kwa kucheka kwahiyo unataka apike akiwa uchi wa mnyama, na ili iweje?Ndio hivyo, yaani Mke umuoe kabisa kwa mahari halafu eti anavaa sijui kanga sijui kitenge wakati wa kupika...Dharau gani hii
Maganda yanasaidia kwenye figo na ini nasikia basi tu ni vile hayanogeshi msosi, ila tu kanda ya ziwa kwenye mapishi ni jirooLazima tu kuna mabaki ya maganda yatabaki na huwa yanajisokota mi nikiona maganda ya nyanya yalivyojisokota kwenye chakula huwa yananikera sana naanza kuchambua moja moja kuweka pembeni
Hebu vua nguo zote mpikie Mumeo chakula kisha mpelekee sebuleni huku unamwangalia usoni na kumchekea uone kama hajaacha kula popote anapokulaga....hebu jiongeze MwanamkeHivi uko serious? Au unataka nimalizie weekend yangu kwa kucheka kwahiyo unataka apike akiwa uchi wa mnyama, na ili iweje?
Nitakafanya hako kamchezo ila isijekuwa huku napika huku nakuliwa mwishowe tule vitunguu vilivyoungua au tuungue kabisaHebu vua nguo zote mpikie Mumeo chakula kisha mpelekee sebuleni huku unamwangalia usoni na kumchekea uone kama hajaacha kula popote anapokulaga....hebu jiongeze Mwanamke
Maharage nazi hujayaelewa? Daah kweli tuko tofauti sanaa...Hapo mimi samaki na dagaa tu, Maharage ya Nazi sijawahi yaelewa.
Jitahidi tu kuwa makiniNitakafanya hako kamchezo ila isijekuwa huku napika huku nakuliwa mwishowe tule vitunguu vilivyoungua au tuungue kabisa
Ashura tako bovu unaendeleaje hapo magomeni mapipa?Huyu hajaonja Kitimoto roast lililotiwa tui la nazi
Hebu tuwe wakweli, humu JF mtu mwenye pesa unaweza kumjua? Hebu tuache kukariri kila aina ya misemo.Hela haziongei
Figo ntakula hata zabibu, pilipili kichaa, Broccoli na ma Apple ila siyo kula maganda ya nyanya yaliyopikwa kwenge mboga yakajisokota, kitendo kinacho nikera ni ile hali yake ya kujisokota, Au bora ikatwe kachumbari hapo ntakula maganda ya nyanyaMaganda yanasaidia kwenye figo na ini nasikia basi tu ni vile hayanogeshi msosi, ila tu kanda ya ziwa kwenye mapishi ni jiroo
πππππWali nazi 3.
Mchuzi nazi.
Maandazi ya nazi.
Uji wa nazi.
Maharagwe ya nazi.
Mihogo ya nazi.
Ndizi nyama kwa nazi.
Nyie wabara endeleeni kula kichuri.
Bado kijana mdogo sana sana. Hajui madhara ya wali nazi ishirini na tanoMkuu wali nazi 25 ,kisamvu nazi tatu ,pilau nazi+nyanya ni hatari mkuu.
Maharage mabichi +nazi ni hatari mkuu.
Upo sahihi, na kachumbali ikitiwa limao inakuwa salama tukutane nazo hukoFigo ntakula hata zabibu, pilipili kichaa, Broccoli na ma Apple ila siyo kula maganda ya nyanya yaliyopikwa kwenge mboga yakajisokota, kitendo kinacho nikera ni ile hali yake ya kujisokota, Au bora ikatwe kachumbari hapo ntakula maganda ya nyanya
Bi Amina tako bovu...uvaae Baibui kuficha sura ila nyuchi zawadi kwa akina Abdallah...naendelea vizuri Mwenyezi Mungu (S.A.W) anajaaliaAshura tako bovu unaendeleaje hapo magomeni mapipa?
Bibie wamsikia huyu Shabab asiyejua Maanjumat laadhim kutoka kwa mama na Dada zetu wa pwani?Ashura tako bovu unaendeleaje hapo magomeni mapipa?
Huyu hajaonja Kitimoto roast lililotiwa tui la nazi