Mahitaji
Maandalizi
1. Katika sufuria weka utumbo, saumu, chumvi, pilipilili manga na tangawizi, Chemsha moto mdogo mdogo (usiweke maji kwanza). Kamulia ndimu na uache ichemke
2. Ukiona inakaribia kukauka weka maji na uchemshe huku ukiongeza maji hadi kuwiva, Mimina ndizi zako ulizokatakata katika supu ya utumbo uliochemsha
3. Weka nyanya na kitunguu, Weka bizari ya pilau na bizari ya njano na chumvi kidogo kama utahitaji
4. Achia ichemke kidogo ili soup ipungue, Weka tui lako na upike hadi ndizi kuiva
Chakula chetu kipo tayari kwa kuliwa
- Utumbo wa ng'ombe kg 1
- Ndizi mbichi chana 2 ukubwa kiasi (ndizi 16-20)
- Nyanya 3 kubwa
- Kitunguu 1 kikubwa
- Ndimu 2
- Pilipili manga 1/2 kijiko cha chai
- Tangawizi iliosagwa na saumu kijiko kimoja cha chakula
- Bizari ya pulau kijiko kimoja cha chai
- Binzari ya manjano nusu kijiko cha chai
- Tui la nazi
- Namna ya kutayarisha