Mapishi Yangu

Mapishi Yangu

sijala hii mixture kitambo aisee..
mate yashajaa kisado.
 
fupi zinahitaji wataalam kama nyie la sivyo kwangu zitakuwa ugali...siku nikipika nitaweka picha hapa ucheke.

uzi uwepo tu.
Zichemshe halafu zikianza kuiva ziepue umiminie maji ya baridi uzichuje ndo uendelee na kuunga kama na nyama ama na mayai.
 
Yeap. Kumbe na wewe unapendaga za mayai eeh.
 
Hiyo kitu nilikula sana nlipokuwa Mexico... Nashukuru kwa kunikumbusha
 
siku ukipika biriani niite nije nionje napena kuulila kwa hamu ila nsipike mie,ijumaa kwa sele najitahidi nilipate
 
Yani birian la Sele sijalila nina kam miezi 10 hivii. Itabidi nitafute pikipiki au mchuchu awe ananiletea huku mbali nilipo aisee. Sijakulaga biriani tamu mji huu kama la Sele. Jumamosi inshallah ntapika tena.
 
bunju mpaka kinondoni b mmmmmm pikipiki gharama sana bora uwe unajipikia tu japo ni time consuming sana lile roast na linahitaji shopping kwekweli
 
Back
Top Bottom