Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #61
Mi naendaga pale pale ndo naenjoy. Sema ndo watu wa mjini kama wote sasa.na wanaweza wakapokea wakakupa jibu mpaka unashangaa bei sasa,ubaya wa pale ijumaa hekaheka watu wa mjini wote wapo pale mimi naonaga bora kuagiza boda unalia home kuna hekaheka sana pale