Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba Mdogo wangu, Naona umekula hata karibu ya uongo haikuepoShikamoo kaka.
Yani birian la Sele sijalila nina kam miezi 10 hivii. Itabidi nitafute pikipiki au mchuchu awe ananiletea huku mbali nilipo aisee. Sijakulaga biriani tamu mji huu kama la Sele. Jumamosi inshallah ntapika tena.
Ndefu zinaboa bwana wakati wa kula.. nimekata fupi fupi pia kwa ajili ya mtoto.
Kwani UberEats bado haijafika bongo?
Ila biriani la Sele halina mpinzani aisee!
Very soon ntaenda nikalile tena....
Kumbe na wewe umo
Tamuuuuu
Mie kila penye msosi mtamu huwa najaribu..
Siku hiyo ingine ni bipu humu nikupe ofa Kaka Nyani. 😊
Nitawatumia pesa ukale.. ila unipe na muda wa mtu nitakaye mtuma kufika kwa wakala.🤗
Pole dia hapo lazima ukamate mchuchu awe anafanya yake,mimi ni kutembea tu pia hata tunapoishi na Sele ni nyumba ya 3 kutoka home nirahisi sana kwetu.Pale kuna vijana wake wa bodaboda ila wana bei sana pia wanaringa sana wana wateja wengi sanaSikai Bunju nilikua namzingua tu. Nataka awe ananiletea Mbezi beach.
Hahaahaaa. Wakati nakaa mwenyewe nilikua siku nikicharukwa napika weee halafu naita marafiki zangu waje kula. Kuna siku nikapika wali wa nazi na samaki chukuchuku na maragae ya nazi na mchicha. Rafiki angu kuja kuona wale samaki acha aanze kuongea eti samaki wa vile hali keshazoea wa kuungwa na nazi. Nikamwambia kula ukishindwa acha kuna mboga nyingine. Mbona alikua ananiomba nimpikie awe anakuja kula samaki chukuchuku. Mi napenda jiko ila niwe na mud tu.Msosi huo umenikumbusha enzi za chuo.. ilikuwa kirahisi kukipika kama nina muda ili nisile nje.
Ilikuwa lazima nikienda supermarket ninunue vyakula bila kukosa hayo pia..
Nilikuwa nikipata muda napika msosi utafikiri nilishaolewa na kuwa na familia..
Maisha matamu jamani..
Wewe mpenda kula kama mimi basi. Hata nisikie Temeke kuna sehemu kuna msosi mtamu lazima nikahakikishe kama kweli. Napenda vyakula vizuri kweli ndo maana sipunguiKumbe na wewe umo
Tamuuuuu
Mie kila penye msosi mtamu huwa najaribu..
Siku hiyo ingine ni bipu humu nikupe ofa Kaka Nyani. [emoji4]
Nitawatumia pesa ukale.. ila unipe na muda wa mtu nitakaye mtuma kufika kwa wakala.[emoji847]
Vijana wake unaweza piga simu wasipokee. Nawajua vizuri kabisa. Ijumaa hii ntatoroka ofisini nije tule biriani maana nimeimiss mnooo.Pole dia hapo lazima ukamate mchuchu awe anafanya yake,mimi ni kutembea tu pia hata tunapoishi na Sele ni nyumba ya 3 kutoka home nirahisi sana kwetu.Pale kuna vijana wake wa bodaboda ila wana bei sana pia wanaringa sana wana wateja wengi sana
Jumiafoods hawachukui kwa sele?Yani birian la Sele sijalila nina kam miezi 10 hivii. Itabidi nitafute pikipiki au mchuchu awe ananiletea huku mbali nilipo aisee. Sijakulaga biriani tamu mji huu kama la Sele. Jumamosi inshallah ntapika tena.
Hahahaaaa eti localSidhani. Sele alivyo local vile anawezana na hayo mambo ya jumia kweli?
Poa poa..Sawa maaa.. ijumaa saa tano tuchekiane mana natoroka ofisini inabidi niwahi kuondoka nirudi kabla ya saa nane..
na wanaweza wakapokea wakakupa jibu mpaka unashangaa bei sasa,ubaya wa pale ijumaa hekaheka watu wa mjini wote wapo pale mimi naonaga bora kuagiza boda unalia home kuna hekaheka sana paleVijana wake unaweza piga simu wasipokee. Nawajua vizuri kabisa. Ijumaa hii ntatoroka ofisini nije tule biriani maana nimeimiss mnooo.